Last night....!!!!

Hivi tofauti ya whisky na wine ni ipi maana hayo majina mawili yananichanganya
 
Whisky
Wine
Brandy
Rum
Spirit
Gin
n.k ni aina tu ya pombe kulingana na namna inavyotengenezwa Kuna viwango sahihi vya kuipata kila moja hapo.Mfano mojawapo wa Gin ni Cognac au Konyagi kwa kiswahili
Gin na Cognac ni vitu viwili tofauti.
Cognac ni aina ya Brandy.
 
Unachanganya vitu. Konyagi inafanana matamshi na Cognac na si kwamba ni kiswahili cha Cognac.
Konyagi ni Gin
Cognac ni aina ya Brandy
Brandy na Gin ni vitu viwili tofauti.
KONYAGI = SPIRIT


THE SPIRIT OF AFRICA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…