Last moments of the ‘Bulldozer’ John Pombe Magufuli

Wewe kutokuwa na ripoti haimaanishi ripoti haipo.

Ripoti ipo, hata kama wewe unadai bila msingi juu yake kuwa haipo.

nadhan upinzani uendelee kubaki kama upinzani forever mpaka pale tutakapopata chama chenye misingi ya kutoa hoja kwa takwimu na evidence, kwa sasahv bakini kama mlivo
 
naona uko busy kwelikwelihapa leo, lakini kazi unayoifanya haina lolote la kujivunia.

nadhan mngeomba jamii forum iuzwe kwa ufipa ila muandike kila kitu mnachotaka then ccm iendelee kwa vitendo zaidi, wewe piga kelele mpaka uchoke mbowe hawezi kukupa hata zile gloves zake nyeusi
 
Cardinal Pengo akubali kutumiwa kwenye hili kwa faida ya Mungu yupi? Labda la mungu wa jina la JMT.
Mufti je angekubali kutumiwa kudanganyia ili iweje kwa mfano?

Sasa wewe unatakiwa uombe kifo chema, ni heri ambae ameenda kwa slow death, huezi jua aliongea nn na Mungu dakika zake za mwisho, he is Gone and that short period akiwa anaugulia hospital is still his secret na Mungu wake, wewe ambae hujui unakufaje ushaanza kumpangia Mungu wakati unaweza hata usipate hio dakika ya kuongea na Mungu tena, Kifo chema ndo cha msingi, fikiria wale waliokufa kwa ajali na ni papo hapo! in simple words kama hakuna mtu wa kitubio ndo imetoka hio same to all of us remaining,
 
Mungu ana miujiza yake
Unapiga mtu risasi anaenda kupona Nairobi
We unaugua unaenda Nairobi hospitali Ile Ile unakufa..

na pia unaweza usipige mtu risasi wala kua mwanasiasa ila ukafa pia, na sio ukafa tu inaweza ikawa kifo kibaya! wacheni kua wasaidizi wa MUngu
 
Let him go to hell wacha bana, tulifika mahali unaona kabisa sisi wa kanda ile hatustahili maendeleo wala fursa. Bumbavu zake mwendazake
 
He is dead now. Let the man rest in peace. By the way, The Nation is funded by the Gates Foundation to the tune of $4 million. Had Magufuli embraced vaccination and other Covid related businesses, you wouldn't read such rumours from this tabloid.

The article below may help to open your eyes about what is going on...

How many shares does gates have in any current vaccination ?

The one in UK or Russia..., even if they had shares of Pfizer I don't think we can afford it anyway ?
 
Sasa wewe unatakiwa uombe kifo chema, ni heri ambae ameenda kwa slow death, huezi jua aliongea nn na Mungu dakika zake za mwisho, he is Gone and that short period akiwa anaugulia hospital is still his secret na Mungu wake, wewe ambae hujui unakufaje ushaanza kumpangia Mungu wakati unaweza hata usipate hio dakika ya kuongea na Mungu tena, Kifo chema ndo cha msingi, fikiria wale waliokufa kwa ajali na ni papo hapo! in simple words kama hakuna mtu wa kitubio ndo imetoka hio same to all of us remaining,

Hujanielewa wewe. Nimejibu hao wanataka kuweka upotoshaji kwamba familia ya marehemu imedanganya kuhusu yaliyo jiri siku za mwishoni za JPM. Ndio ni kasema Cardinal Pengo na Mufti wametajwa. Je wangekubali kwa faida gani kutumiwa kupika huo unaoitwa ni uongo wa familia? Mimi ni JPM lialia mkuu.

Bwana Yesu ni wa Neema na Rehema hataniacha ni vunwe na shetani siku za mwisho ni ishie kwenye kifo cha milele yote.
 
nadhan upinzani uendelee kubaki kama upinzani forever mpaka pale tutakapopata chama chenye misingi ya kutoa hoja kwa takwimu na evidence, kwa sasahv bakini kama mlivo
Unanieleza hayo kwani mimi ndio chama cha upinzani?

Umewehuka weye! Mbona unahangaika hivi.
 
nadhan mngeomba jamii forum iuzwe kwa ufipa ila muandike kila kitu mnachotaka then ccm iendelee kwa vitendo zaidi, wewe piga kelele mpaka uchoke mbowe hawezi kukupa hata zile gloves zake nyeusi
Wewe hapo ni chizi tu mpuuzi.

Usinipotezee muda hapa.
 
Hujanielewa wewe. Nimejaribu hao wanataka kuweka upotoshaji kwamba familia ya marehemu imedanganya kuhusu yaliyo jiri siku za mwishoni za JPM. Ndio ni kasema Cardinal Pengo na Mufti wametajwa. Je wangekubali kwa faida gani kutumiwa kaþika huo unaoitwa ni uongo wa familia. Mimi ni JPM lialia mkuu.

Bwana Yesu ni wa Neema na Rehema hataniacha ni vunwe na shetani siku za mwisho ni ishie kwenye kifo cha milele yote.
great!
 
Back
Top Bottom