Sina ufafanuzi wowote dhidi ya maana ya hilo neno.Hilo jina 'last minute lounge' ni last minute kabla ya kufanya nini au tukio gani kwa anayekwenda hapo? Halafu maana ya lounge ni chumba cha ku-relax au kusubiria, mfano, airport. Sasa hiyo relax ya last minute au subiria ya last minute ni ya nini?
Tangazo limesomekaWana JF Umofia kwenu usiku wangu wa kuamkia tarehe hii 22/02/2019, Nimeutumia hapa Last Minute Lounge iliyopo sinza mori mbele ya La Chaaz njia ya kuelekea Wanyama Hotel.
Hakika ni usiku mzuri na wakupendeza kwenye hii siku maalumu ya ufunguzi wa pub ya dada yeru Irene Uwoya;
- Full of enjoyment
- music mzuri chini ya djommycrazy
- watu wastaarabu sio wahuni.
And alot of enjoyments, kama upo au ulikuwepo mahali hapa share feelings zako.
Mia
Watu wanajiandikia tu, pub, lounge, grocery, bar bila kujua maana yakeHilo jina 'last minute lounge' ni last minute kabla ya kufanya nini au tukio gani kwa anayekwenda hapo? Halafu maana ya lounge ni chumba cha ku-relax au kusubiria, mfano, airport. Sasa hiyo relax ya last minute au subiria ya last minute ni ya nini?
Unga tu dots mkuu utapata majibu,Hilo jina 'last minute lounge' ni last minute kabla ya kufanya nini au tukio gani kwa anayekwenda hapo? Halafu maana ya lounge ni chumba cha ku-relax au kusubiria, mfano, airport. Sasa hiyo relax ya last minute au subiria ya last minute ni ya nini?
Hahahaaa umekwamaSina ufafanuzi wowote dhidi ya maana ya hilo neno.
Aliyewin kwenye ile ndoa ni dogo janja.Haya maji yakikuwa kina kirefu kwa Dogo Janja
Raha ya bar iwe na vyumba sheh unaua ndege wawili kwa jiwe moja nadhani umenisomaUnga tu dots mkuu utapata majibu,
Ukishamaliza bia zako pale dakika zako za kukaa pale zikiisha unazama Wanyama au Johannesburg Hotel ndio maana yake.
Hilo jina 'last minute lounge' ni last minute kabla ya kufanya nini au tukio gani kwa anayekwenda hapo? Halafu maana ya lounge ni chumba cha ku-relax au kusubiria, mfano, airport. Sasa hiyo relax ya last minute au subiria ya last minute ni ya nini?
Itakuwa anazindua hilo jina jipya! Mwanzo si ilikuwa yaitwa chimbo sijui.Hiyo Bar ipo siku nyingi ana maana gani kusema anazindua au ilikarabatiwa mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko google haipo hata, hii post ndio imepeleka google hilo jinaHiyo Bar ipo siku nyingi ana maana gani kusema anazindua au ilikarabatiwa mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app