kiatu kipya
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 3,269
- 1,980
Mkuu we ni wa Kigoma nini maana si kwa ligi ndogoTamaduni toka lini zikabadilisha mwafrika kuwa mzungu?
Mkuu we ni wa Kigoma nini maana si kwa ligi ndogoTamaduni toka lini zikabadilisha mwafrika kuwa mzungu?
Kwani obama mzungu?Wazungu hawaogopagi macho ya watu mzee hiyo wala sio ajabu,wanafanya hata mbele ya wazazi wao sasa wewe mndengereko mwenzangu kafanye hivyo mbele ya wazazi wako usipovuna laana.
Tena wa Kibondo ...jiandaeMkuu we ni wa Kigoma nini maana si kwa ligi ndogo
...Lakini msisahau ukweli kwamba hata kama jana usiku walikuwa wamegeukiana migongo au kurushiana maneno makali, lazima leo wakubaliane kwamba dunia isijue kingine zaidi ya huo upendo wa dhati, hata kama ni kwa leo tuu...Wahenga walinena nyumba zetu zaficha mengi sanaa...Wakati nasoma sekondari miaka ya nyuma niliwahi kwenda kwa Mjomba wakati wa likizo, sasa usiku mwingi nikasikia purukushani nikadhani ni wezi, nikatoka room huku napiga kelele kumbe bwana Mjomba anamshushia kisago shangazi!! But ghafla walivyoniona nao wakajifanya kuungana na mimi kuita mwiziii mwiziii, kumbe wanapoteza maboya baada ya kubaini nimewaona wakidundana...Nimetamani ningekuwa mie
Ni mtihani kwakweliKwakweli ni raha ya aina yake. Sema kumpata mtakaeshibana kihivo sasa ndo issu
255555Ulienda mara ngapi?
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Tehe!
Tamaduni zetu bwana ndio tatizo,hayo mambo ya kizungu.Haha thats normal sio mbaya
muda wote tu unapigwa mabusu ...obama bwana haalf haon ishu...bora hata wewe espy utajiskia aibu, wanawake wengine hawatak kabisa kuonyeshwa care ya hivyo atakuambia bwana kuna watu acha au hata kutembea tu mmoja anatangulia mbele hatua kumi mwingine yuko nyuma hatua 5..
Ni kweli mkuu....Siwezi kukulaumu, this is typical African culture,kumbuka kwa asili sisi hatujawahi kuwa na huo utamaduni wa ku display hayo mambo...
[emoji16][emoji16]Nitajisikia aibu.
Kiss na salute juu tena salute lenye glove nyeupe safi kama leso ya bkrMy best couple ever!!
Mwanamke, unajisikiaje mwenzio akikuonesha mapenz makubwa kias hiki bila kuogopa macho ya watu.
Busu la mwisho White House!!!
View attachment 462030
[emoji120] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] Huu ni pure uchokozi!Huyu yeye anachapa makofi tu
Kwakwelii. ...iko soo romanticMwanamke yeyote anaejua raha ya kupendwa lazima apende hii
Mzungu moyoni mwafrika usoni.Kwani obama mzungu?
Wala espy...mambo ya kusema tamaduni its outdated ...Tamaduni zetu bwana ndio tatizo,hayo mambo ya kizungu.
Hahahahaahaa.... Umeua mkuu..Nasubiri la baba jeska siku anaaga!
Kivipi?[emoji16][emoji16]
Pilipili wanakula wengine wewe machozi ya nini???
We muonyeshe tu.Wala espy...mambo ya kusema tamaduni its outdated ...
yani nsimuoneshe honey banny wang jins gan i feel for her even mbele ya hadhira sabaabu tu sio tamadun zetu?, hell no!!!
Ok.We muonyeshe tu.