Habari ndugu zangu bila shaka mu wazima.
Mimi naomba kusaidiwa kuna mtu yeyote mwenye uzoefu na hii casino au alishawahi kufanya kazi hapo na vipi taratibu zao na mishahara yao na je nafasi zipi zilizopo apo kwa beginners.
Asante.

Kuna mtu nanfaham alikuwa supervisor kitengo cha gambling later akawa fnb.
Kazi nyingi za pale ni za kujuana ila pia unaweza kuanza ka beginner wakakutrain ngoja nimuulize kama ninaweza kukupa namba yake