Larry Madowo gets Promoted to International Correspondent months after joining CNN

Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
16,017
16,427
Nyota ya huyu Kijana inazidi kung'aa tu. The guy is achieving greatness right infront of us. Hongera Larry. Alianzia KTN akaenda Ntv, Kisha akaenda BBC, sasa yuko CNN.

Amekuwa Nairobi Correspondent kwa miezi miwili tu sasa amepandishwa cheo na kuwa international correspondent, sasa kazi yake itakuwa ni kureport habari zinazotokea duniani kote iwe ni Marekani au Afrika au Asia. Hongera sana kijana wa nyumbani.

Fun fact: Kenya has produced 3 CNN international correspondents. Zain Verjee, Jeff Koinange na sasa Larry Madowo. Malazy ambao huwa wanasema eti kujua kiingereza hakusaidii chochote basi jaribuni kutafuta kazi CNN muone kama mtapata na hicho kiingereza chenu cha zezeze.
 
remarkable.
 
Asha Rose Migiro alikua naibu katibu mkuu wa UN cheo ambacho Kenya hamna uwezo wa kukipata, eti hao watangazaji kwenu ni Jambo la kujisifia, kweli mumeishiwa siku hizi
 
Hahaha. Usilazimishe tufanane. UN watu wanachaguliwa kwa kujuana. Wanawake wengine wanapewa vyeo vikubwa kwa kupanua miguu. Ila simaanishi kwamba Asha Rose alipata cheo kwa njia ya mkato. Yeye pengine alipata kwa kuhitimu ila vyeo vya UN vina siasa nyingi ndani na kawaida watu hupata vyeo kisiasa. Ila CNN haiwezi kumuajiri mtu ambaye hana masomo na experience inayofaa.
 
Hapo kwa UN i agree with you 100%
 
Wacha kuchekesha watu, Larry Madowo ana Elimu gani?, Fungua CV ya Asha Rose Migiro uone jinsi alivyo na Qualifications, UN hakuna ujinga ujinga, hujui lolote kuhusu system ya kuwapata watumishi wa UN, ndio sababu Amina Mohamed mnajaribu kutumia nguvu nyingi Sana kumuingiza UN lakini mnashindwa wanachukua watu Kama Ngozi wa Nigeria
 
Ujinga tu, Jeff Koinange alondokaje CNN?
 
Wacha kuchekesha watu, Larry Madowo ana Elimu gani?, Fungua CV ya Asha Rose Migiro uone jinsi alivyo na Qualifications, UN hakuna ujinga ujinga, hujui lolote kuhusu system ya kuwapata watumishi wa UN, ndio sababu Amina Mohamed mnajaribu kutumia nguvu nyingi Sana kumuingiza UN lakini mnashindwa wanachukua watu Kama Ngozi wa Nigeria
Larry ana masters in journalism from Columbia university in New York. That is an ivy league university.
 
Wacha kuchekesha watu, Larry Madowo ana Elimu gani?, Fungua CV ya Asha Rose Migiro uone jinsi alivyo na Qualifications, UN hakuna ujinga ujinga, hujui lolote kuhusu system ya kuwapata watumishi wa UN, ndio sababu Amina Mohamed mnajaribu kutumia nguvu nyingi Sana kumuingiza UN lakini mnashindwa wanachukua watu Kama Ngozi wa Nigeria
comparing oranges with apples here.
 
Nyota ya huyu Kijana inazidi kung'aa tu. The guy is achieving greatness right infront of us. Hongera Larry. Alianzia KTN akaenda Ntv, Kisha akaenda BBC, sasa yuko CNN.

Amekuwa Nairobi Correspondent kwa miezi miwili tu sasa amepandishwa cheo na kuwa international correspondent, sasa kazi yake itakuwa ni kureport habari zinazotokea duniani kote iwe ni Marekani au Afrika au Asia. Hongera sana kijana wa nyumbani.

When it is your time to shine it is your time and no devil can stop that.
 
Fun fact: Kenya has produced 3 CNN international correspondents. Zain Verjee, Jeff Koinange na sasa Larry Madowo. Malazy ambao huwa wanasema eti kujua kiingereza hakusaidii chochote basi jaribuni kutafuta kazi CNN muone kama mtapata na hicho kiingereza chenu cha zezeze.
Akina Magufuli
 
Nyota ya huyu Kijana inazidi kung'aa tu. The guy is achieving greatness right infront of us. Hongera Larry. Alianzia KTN akaenda Ntv, Kisha akaenda BBC, sasa yuko CNN.

Amekuwa Nairobi Correspondent kwa miezi miwili tu sasa amepandishwa cheo na kuwa international correspondent, sasa kazi yake itakuwa ni kureport habari zinazotokea duniani kote iwe ni Marekani au Afrika au Asia. Hongera sana kijana wa nyumbani.

Mimi ni Joji Maratu wa ITViiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii naye atapandishwa kuwa International corespondent based in London! Sky Eclat
 
Hahaha. Usilazimishe tufanane. UN watu wanachaguliwa kwa kujuana. Wanawake wengine wanapewa vyeo vikubwa kwa kupanua miguu. Ila simaanishi kwamba Asha Rose alipata cheo kwa njia ya mkato. Yeye pengine alipata kwa kuhitimu ila vyeo vya UN vina siasa nyingi ndani na kawaida watu hupata vyeo kisiasa. Ila CNN haiwezi kumuajiri mtu ambaye hana masomo na experience inayofaa.

Labda kwa un ya machakosi.
 
Asha Rose Migiro alikua naibu katibu mkuu wa UN cheo ambacho Kenya hamna uwezo wa kukipata, eti hao watangazaji kwenu ni Jambo la kujisifia, kweli mumeishiwa siku hizi
Mkenya Mukhisa Kituyi amekuwepo UNCTAD kama Secretary General, sio huo unaibu unaoungumzia. Tena kwa muda mrefu, tangia mwaka wa 2013 hadi mwaka huu. Jikite kwenye mada, achana na majigambo ya peni mbili. Mukhisa Kituyi | UNCTAD
 
Yaani hadi leo bado jamaa ameajiriwa? eti yeye hungojea payslip 🤣 🤣 🤣
Heri Sk macharia(citizen tv kenya) ama diamond (wasafi) This is just a slave pthooo! wacha nikae na ukikuyu wangu, mbeca ni kuoya kuoya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom