Largest producer of avocados in the world

Largest producer of avocados in the world

Joined
May 8, 2025
Posts
24
Reaction score
114
Mexico produces more than one-third of the world's avocado supply, making it the world's largest producer of avocados.

A variety of avocados are grown throughout Mexico, but the state of Michoacán is the highest producer.

Top 5 Avocado Producing Countries in The World​

RankCountryAnnual Production (in Million Metric Tonnes)
1Mexico2.5
2Colombia1.1
3Peru0.9
4Indonesia0.7
5Kenya0.4
 
Serikali yao inawapigania sana masoko ya nje
Tatizo tz urasimu mwingi

Oba
Sisi pana kipindi ili utoe bidhaa nje ya Nchi kama Asali unaambiwa ulipie kibali kwa dola na kupata hicho kibali ni mazoezi kweli sijui kama sasa hivi wameweka maombi kwenye mtandao watu kwenda kuuza Mchele Zambia wanazungusha border pale ajabu kweli..
 
Sisi pana kipindi ili utoe bidhaa nje ya Nchi kama Asali unaambiwa ulipie kibali kwa dola na kupata hicho kibali ni mazoezi kweli sijui kama sasa hivi wameweka maombi kwenye mtandao watu kwenda kuuza Mchele Zambia wanazungusha border pale ajabu kweli..
Tanzania urasimu mwingi hasa Wizara ya Kilimo sijui kwa sababu Wizara hiyo ina watendaji wengi Wasukuma ambao hawapendi mabadiliko?
 
Kwa TZEE Deals nyingi za kuexport huwa zinakamatwa na wakubwa juu kwa juu. Wakubwa na maanisha viongozi wa ngazi za juu serikalini.
Mawaziri na makatibu wa Wizara hasa Wizara ya Kilimo pamoja na Wizara ya Viwanda na Biashara.Shida vibali vingi,urasimu wa kupata vibali,kukosa sera nzuri katika kutekeleza majukumu.Vikwazo vingi visivyo na sababu,ukabila na ukanda vimetawala sana Tanzania.
 
Wanalima pia, ila wakichukua kwetu wanasafirisha kupitia bandari yao ya Mombasa, sisi bado tumelegea kwenye baadhi ya maeneo pale bandarini
Mimi nadhani mazingira ya kusafirisha kwetu yapo juu ngoja ntafatilia kwa sasa hivi maana naona wenzetu wanatutumia sana kama vitunguu vyekundu tu kwao ni hela sana nje..
 
Back
Top Bottom