Afyayaakili JF-Expert Member Joined Sep 12, 2012 Posts 936 Reaction score 1,302 May 6, 2019 #1 Kuna sehemu nimepitia uzi wa zamani nikatokea kumkumbuka tuu, amepotelea wapi au kabadili ID. Nimemiss mastory yake
Kuna sehemu nimepitia uzi wa zamani nikatokea kumkumbuka tuu, amepotelea wapi au kabadili ID. Nimemiss mastory yake
Mavipunda JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 7,239 Reaction score 8,089 May 6, 2019 #2 Ukiona haonekani basi kashavuta
L long leg ajusshi Member Joined Dec 5, 2016 Posts 11 Reaction score 4 May 6, 2019 #3 Mavipunda said: Ukiona haonekani basi kashavuta Click to expand... [emoji15] [emoji15]
atug JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 2,836 Reaction score 3,681 May 6, 2019 #4 Nimemiss pia
Afyayaakili JF-Expert Member Joined Sep 12, 2012 Posts 936 Reaction score 1,302 May 6, 2019 Thread starter #5 Mavipunda said: Ukiona haonekani basi kashavuta [/QUOTE 😳😳😳 Doh Click to expand...
Twilumba Platinum Member Joined Dec 5, 2010 Posts 13,678 Reaction score 16,699 May 6, 2019 #6 nistdanavigator said: Kuna sehemu nimepitia uzi wa zamani nikatokea kumkumbuka tuu, amepotelea wapi au kabadili ID. Nimemiss mastory yake Click to expand... @Lara1
nistdanavigator said: Kuna sehemu nimepitia uzi wa zamani nikatokea kumkumbuka tuu, amepotelea wapi au kabadili ID. Nimemiss mastory yake Click to expand... @Lara1
Eng Kahigwa JF-Expert Member Joined Feb 18, 2014 Posts 783 Reaction score 632 May 6, 2019 #7 nistdanavigator said: Kuna sehemu nimepitia uzi wa zamani nikatokea kumkumbuka tuu, amepotelea wapi au kabadili ID. Nimemiss mastory yake Click to expand... Atakuwa kabadili ID kwaajili ya kutafuta mchumba....you never know!
nistdanavigator said: Kuna sehemu nimepitia uzi wa zamani nikatokea kumkumbuka tuu, amepotelea wapi au kabadili ID. Nimemiss mastory yake Click to expand... Atakuwa kabadili ID kwaajili ya kutafuta mchumba....you never know!
Jurrasic Park JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 3,833 Reaction score 6,889 May 6, 2019 #8 Maisha magumu yule aunt hana hela zile za kudanga danga hana tena. Maana alikuwa na mambo ya maisha flani ya matawi juu sasa maisha yamem konki konki konki master. NB:Uzuri wa mwanamke awe na maneno makali[emoji16]
Maisha magumu yule aunt hana hela zile za kudanga danga hana tena. Maana alikuwa na mambo ya maisha flani ya matawi juu sasa maisha yamem konki konki konki master. NB:Uzuri wa mwanamke awe na maneno makali[emoji16]