Lara 1 tunaomba mrejesho

Sukari Yenu

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2014
Posts
1,698
Reaction score
1,261
Dada yangu lara 1, mwaka 2014 ulikuja na mada hapa yenye kichwa habari kuwa unatimiza 30 years of age na unaomba namna ya kudeal na age hiyo kimapenzi. Naona sasa umekuwa na 33 years.....tunaomba basi mrejesho wako.

Sio kwamba nakufuatilia maisha yako, hapana. Nimepita pita tu huko nikaona topic hiyo bado ipo nikawa very curious kupata mrejesho.

Kusoma hiyo thread pitia hapa Tupeane mbinu namna za kuwateka hawa wanaume kwa sie 30 and above
 
bila shaka kuna njemba ilishatekwa muda mrefu.
 
yuko na jamaa mmoja mcolombian hivi..naona maisha yao yamepaa sana..
 
Kwani huyu mtu yupo siku nyingi sijaona mabandiko yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…