Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,415
- 12,628
Mtake radhi piko wa moyo wangu! Wala haitaji kupandishwa chati, tunapendana tu kwa raha zetu!
Li piko lenyewe baaayaaaaa!
Mtake radhi piko wa moyo wangu! Wala haitaji kupandishwa chati, tunapendana tu kwa raha zetu!
hahaha tusio na mapico wa moyo tutajuta mwaka huu
ONE MANS POISON IS ANOTHER MANS MEAT! Mwenyewe mbayaaaaa, so wabaya tumekuna tumependana, mpambe utuwacheeee!Li piko lenyewe baaayaaaaa!
Hahaaaaaaa! Dinazarde, miss neddy Surprise Heaven on Earth, TATIANA valentin, tinna cute NJOONI MCHACHUE HUKU! Kumekucha!
ONE MANS POISON IS ANOTHER MANS MEAT! Mwenyewe mbayaaaaa, so wabaya tumekuna tumependana, mpambe utuwacheeee!
ONE MANS POISON IS ANOTHER MANS MEAT! Mwenyewe mbayaaaaa, so wabaya tumekuna tumependana, mpambe utuwacheeee!
Bibi we kwani yule baba kijacho wako yuko wapi?
Valentina mbona full shangwe?,yaani kama vile goli la WC
baba kijacho mkimbizano na kijacho anazidi kukua kama sijawa single mom lol
Nipo hapa mupenzi wa mimi
Niambie mupenziiii!!
Yani leo nilivokumiss wacha tu jamani....
Npo hapa kabanga nlikua nashangilia world cup....
Niko hapa nimejaa tele mupenzi wa mimi!