Lara 1 & Matola // Arovera & I

Lara 1 & Matola // Arovera & I

Wewe mbona umemganda mme wangu ivoo unataka ujue kabila langu au kiwango changu kitandani?! Eeh wapi Arovera wangu

Nipo mpenzi wangu anajitahidi niseme yetu ya ndani lakin your ma everything ubora ulionao sijawahi kuona ooohh Mom Fay malkia wa moyo wangu tulia mama achana na huyu.
 
Last edited by a moderator:
Baby umeme umekatika naogopa nakumic rudi kipenzi changu. Naugua juu yako baba watoto wangu nimemic unavyonikumbatiaga mwenzio

poleni sana mpenzi, hakika mimi mwenyewe nimekumiss sana malaika wangu wa moyo siwezi eleza mengi.
 
sina cha kuongezea mke wangu kwa kua hatuigizi basi tuendelee kujadili namna ya kuraise familia bora yenye amani na upendo.

barafu wangu wa moyo hata nashindwa cha kuongea kila nikufikiriapo hadi mate unijaa mdomoni!!..sio siri najiona mwenye bahati sana ndani ya himaya yako,siwazi kukupoteza hata robo saa ntakufa mie,roho yangu,cha utamu wangu,sweetpipi wangu,.pumzi yangu,nyongo mkalia ini wangu.
 
Wewe mbona umemganda mme wangu ivoo unataka ujue kabila langu au kiwango changu kitandani?! Eeh wapi Arovera wangu

Alishawahi kuorozesha makabila yanayogawa na makabila goigoi,nikauliza baada ya kukupata ww umeangukia upande gani,wanaogawa hovyo au goigoi maana jamaa yuko fiti kwa takwim na ukubali ukatae umeingia kwenye category moja wapo hapo sema hawezi kukwambia kwa sasa.
 
Last edited by a moderator:
Alishawahi kuorozesha makabila yanayogawa na makabila goigoi,nikauliza baada ya kukupata ww umeangukia upande gani,wanaogawa hovyo au goigoi maana jamaa yuko fiti kwa takwim na ukubali ukatae umeingia kwenye category moja wapo hapo sema hawezi kukwambia kwa sasa.

sijawahi kuiona hiyo post ,..tho naelewa my baby ni chautundu lakini kwangu hajakosea kufika,na anachokipata anakipenda hawezi kutoka.
 
Bana kuna the strongest couple ever...Vaislay na 75 mm piga keleleeeeeeeeeeeeeeeeeee....
Hii ndoa mimi naahidi mchango wa million tano.....kwa hii ni funiko......vi-couple vyote ulivyowahi kuona jf tupa kuleeeeee...!

hii couple leo ime "make headlines" kinoma
 
Tumezicheza sana hizo, unatafuta bonge la demu, unampanga kufake.

Target zitaingia nyavuni tartiiibu.
Mtake radhi piko wa moyo wangu! Wala haitaji kupandishwa chati, tunapendana tu kwa raha zetu!
 
Yaan nachekajeeeeer mieeee na wale wenye wanaume wanne na wenye wanawake wengi muwataje wajijuee tu
 
yap !! Si unaulizia i love u nyiingi ungeshuhudia!

ningeshuhudia nini? Wakiambiana I love you au? ...
...hivi, ndio wanaanza kupenda au ni kutafuta attention yenu? Coz "I love you" zishajaa debe, lols
 
Back
Top Bottom