Lara 1 & Matola // Arovera & I

Lara 1 & Matola // Arovera & I

Hii ni CC ama yanatendeka live?...manake "I love you" zimekuwa nyingi kuliko neno lenyewe, lol
 
KUMEKUCHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!? MTUWACHE TULALEEEEEE!!! mmmmxxxxyuuuuuuuuu!!!!!! (ole wake mtu aniquote)
 
Afu umu nahisi kuna mtu kalipia kutajwa tajwa kwa style za "I love you", maana hajiamini amini.

Enzi zetu ukitongoza demu akazingua unakodi demu mkali zaidi yake afu unajifanya ndo mapenzi moto moto, mwisho wa siku target inaingia line kama kufanya mashindano au kwa kujiuliza ana nini huyu mpaka flani kamkubali.

Nahisi kuna target mahali.
 
kaka yangu siku hizi mifano tunachukua kwa wanaoshinda tu...sio wanaoshindwa..mzima lakini?
Hivi
#Frola
Mbasha na
#Emmanuel
walikuwa wakiitana baby,honey,sweetheart n.k??Na walikuwa wakiambizana
watapendena mpaka kifo kiwatenganishe?Watapendana mpaka mlima
Kilimanjaro uamie Malawi??Nauliza jamani
 
Back
Top Bottom