Lara 1 & Matola // Arovera & I

Lara 1 & Matola // Arovera & I

Afu umu nahisi kuna mtu kalipia kutajwa tajwa kwa style za "I love you", maana hajiamini amini.

Enzi zetu ukitongoza demu akazingua unakodi demu mkali zaidi yake afu unajifanya ndo mapenzi moto moto, mwisho wa siku target inaingia line kama kufanya mashindano au kwa kujiuliza ana nini huyu mpaka flani kamkubali.

Nahisi kuna target mahali.
Hahaaaaaa! Umeenda mbali! Japo hujataja jina, ila kama ni mie na baby yangu ITS TRUE 100%
 
Love you my wife you mean a lot to me, (Mom Fay) iwe jua iwe mvua nitakupenda na kukuheshim pia.
 
Bana kuna the strongest couple ever...Vaislay na 75 mm piga keleleeeeeeeeeeeeeeeeeee....
Hii ndoa mimi naahidi mchango wa million tano.....kwa hii ni funiko......vi-couple vyote ulivyowahi kuona jf tupa kuleeeeee...!
 
Ooooooooooooh!!

Dedx: Ditto ~ Tushukuru kwa yote!!
Kwa pamoja tutazame hapa tulipoooo...
Inatuonyesha picha ya mbali huko tuendakooo......
Mpenzi._.......
Mengi utasikiaaa....
Yasemwayo usiweke moyoni...
Kuteleza inatokeaaa...
mambo ya ndani usiyaweke adharani...

Wengine.....
Amani tuliyonayo kidogo....
wanaiota hawana.............


Ussssshhhhhhhh!! That is what they call it love!! We got it all!!
Just us & only us!!

Dedication to all couples!!

I love u my Arovera just like the way lara1 do to shemizooooooo Matola

One love!!!!!!!..............

sina cha kuongezea mke wangu kwa kua hatuigizi basi tuendelee kujadili namna ya kuraise familia bora yenye amani na upendo.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kwenye zile takwim zako makabila goigoi,sijui makabila yanayogawa huyo mke wako mom fay anaangukia wapi?

siku zote mtu alieshindwa huchukua muda mwingi kuwaza past badala ya kuandaa future ndo hapo wewe unaangukia.
 
Wengine. .. . .
Amani tuliyonayo kidogo .. . .
wanaiota hawana .. . .. .. . .. .. .
 
Love you my wife you mean a lot to me, (Mom Fay) iwe jua iwe mvua nitakupenda na kukuheshim pia.

Baby umeme umekatika naogopa nakumic rudi kipenzi changu. Naugua juu yako baba watoto wangu nimemic unavyonikumbatiaga mwenzio
 
Hahaaaaaa! Umeenda mbali! Japo hujataja jina, ila kama ni mie na baby yangu ITS TRUE 100%


Tumezicheza sana hizo, unatafuta bonge la demu, unampanga kufake.

Target zitaingia nyavuni tartiiibu.
 
siku zote mtu alieshindwa huchukua muda mwingi kuwaza past badala ya kuandaa future ndo hapo wewe unaangukia.

jibu swali langu mkuu,huyo mom foy anaangukia wapi,wanawake wanaogawa au makabila goigoi kitandani?
 
jibu swali langu mkuu,huyo mom foy anaangukia wapi,wanawake wanaogawa aue makabila goigoi kitandani?

Wewe mbona umemganda mme wangu ivoo unataka ujue kabila langu au kiwango changu kitandani?! Eeh wapi Arovera wangu
 
Last edited by a moderator:
Kwa staili hii ya kuendekeza kuvuana pichu sitashangaa next year dolar ikifika 2700
 
Back
Top Bottom