Lara 1 - Compilation No.1 - 2012

FaizaFoxy

Platinum Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
100,506
Reaction score
123,820
lara 1 nilikwambia siku nyingi tunataka kitabu, hunielewi, naanza kwa hii lara 1 Compilation No.1- 2012, labda itaku inspire.


Hello! Kwanini nimejiunga Jamii forums na nia ya kuleta mabadiliko humu jamvini


Kwanza kama muungwana nawasalimu! Wakubwa shikamooni na wadogo marahaba.

Mimi kama jina langu linavoonesha ni mwanamke, si msomi sana ila nimepitapita skuli japo mambo hayakuwa mazurii kivile ila kadegree ninacho.

Kwanini nimejiunga Jamii forums?

Kwanza kabisa mimi sikuwa mdau wa Jamii forums hata kwa kupita, ila juzi juzi nilifungua blog yangu www.tanzaniastylers.blogspot.c om sasa nikahamasishwa na mdau mmoja anaitwa Marketer aniwekee post kuwakaribisha wadau, nikafurahi na kukubali.

Sasa post ilipata too much negativity na bad press kutoka kwa wadau wa humu. Kidogo ni give up, bt i didnt. Ofcourse kati ya zile negativity nilijifunza mengi sana na nimeboresha kablog sana sana. Sababu za kujiunga kwangu kubwa ni

1. Wadau ni wengi sana na wana moyo wa kuchangia kila jambo. So jamvi liko active 100%

2. Uwazi na ukweli wa hali ya juu, kama njano unapewa live ni njano sio kuzugwa.

3.Jakwaa lina hazina ya vichwa na watu makini sana


Mabadiliko ninayotaka kuleta:

1. Kuwe na jamvi la fashion na urembo.

2.Kuwe na jamvi la wanawake ili tupate fargha kidogo kutoka kwa mibaba nyie.

Nitaletaje hayo mabadiliko?
Im still figuring that out.
"The end justify s the means"

Namalizia na kulikubali jamvi kuwa ni namba 1 Tanzania.

Chanzo: https://www.jamiiforums.com/utambul...na-nia-ya-kuleta-mabadiliko-humu-jamvini.html
 
[h=2]Lile blog la harusi mliloliponda limeboreshwa[/h]
Hi Wadau

Hapo nyuma nilimuomba mdau mmoja wa humu ndani mheshimiwa marketer aniwekee tangazo la my blog ya www.tanzaniastylers.blogspot.c om inayohusu mambo ya harusi, ikakosolewa sana na kupata challange za sana, sasa nimekuja mwenyewe mwenye blog kuwashukuru kwa maoni yenu na kuwajulisha maoni nimefanyia kazi na mengine naendelea kuyafanyia kazi si mwajua Rome haikujengwa siku moja. Thanks a lot for your challanges guys, na msisite kunikosoa inapobidi.

Chanzo: https://www.jamiiforums.com/matanga...blog-la-harusi-mliloliponda-limeboreshwa.html
 
lara 1 I like your unique style of writing and expressing your thoughts. You have really changed JF kama ulivyoahidi "nimejiunga jf na nia ya kuleta mabadiliko humu jamvini".

Kudos.
 
Last edited by a moderator:
mdesi

Huku ndiyo kuna stress za ajabu. Mara mtu kamfumania dada'ke, mara sijuwi mtu kaachwa na wanaume wawili siku ya kuambukizana ukimwi duniani (valentine), mara sijuwi hiki, mara kile.

Mtu anaenitoa stress kwa maandiko yake humu MMU ni lara 1 pekee. Unique.
 
Last edited by a moderator:
[h=2]wolper/jokate/sintah hawana lolote kamwe hawamkuti wema[/h]Nawasalimu wadau

Jamani nimecheki event ya wema ni noma sijui pesa anapata wapi ila ni noma.

Wolper na muuza unga wake hana lolote, kakalia hicho kigari, jpkate kuvaa miguo myeusi, na sintah hana hata la kumsema.

Wema kweli nilikuwa nakuona ***** bt management ya Kadinda imekubadili, fanya mambo ya maendeleo hii migubegube ya mjini iache iendelee.

Chanzo: https://www.jamiiforums.com/celebri...intah-hawana-lolote-kamwe-hawamkuti-wema.html
 
Thank you FaizaFoxy kuhusu the blog bwana I NO LONGER HAVE SHARES! Tulianzisha wa 3, tukatofutiana so i moved on since 2013. SO SOME OF THE WORK YOU ARE CREDITING ME FOR IS NOT ACTUALLY MINE! Oooooooops. Sahivi kabakia bibie mmoja ana i run hio blog.

Kuna kitu nataka kukifanya, actually ni vitu lakini bado najipanga kwanza na kukusanya mkwanja.

I was thinking kuanzisha NEW BLOG, nikiwa solo, for serious life style blogging, news, cureent events, hivo yani. Na kuna series naiandikia script. Bado ila iko on the longrun plan.

On the meantime endeleeni tu kunifaidi bure bure humu JF.
 
lara 1

Anzisha mama, nothing to stop you. Napenda watu wenye ujasiri wa kujieleza kama wewe na mwingine mpya Bi Zainab wa udongo. You girls have my full support. Keep it up.

We need more women like you. You will inspire many by opening up. Keep it up.
 
Last edited by a moderator:
FaizaFoxy leo umekuja kitofauti sana, nimeanza kuongeza upendo kwako???

Watu wengi huwa wanafikiri kichwa chako kimejaa siasa na dini pekee!

Safi sana mdogo wangu.

huyu kikogwe kumbe ni mdogo wako.
 
Last edited by a moderator:
[h=2]Jipatie umeme wa solar kutoka kampuni ya uhakika (umechoshwa na luku!, mgao!, upo kijijini!)[/h]Habari zenu wakuu!

ESPITECH COMPANY ni mabigwa wa kusupply na kufunga vifaa vya solar Tanzania. Wana wataalamu wa solar energy wenye uzoefu na wamefunga mitambo ya solar kwa wateja mbalimbali.

Wanauwezo wa kuwahudumia wateja wa aina zote, Wameshafanya miradi mbalimbali ambayo imeleta matokeo mazuri, ya uhakika na yakuaminika inayojumuisha

Kufunga Solar kwenye ofisi za miradi na asasi mbalimbali za vijijini.
Kufunga Solar kwenye minara ya simu ya kampuni kubwa ya simu.
Kufunga Solar kwenye Hoteli kadhaa za kitalii mbugani.
Kufunga Solar kwenya Dispensary ya vijiji kadhaa
Kufunga Solar shule kadhaa za Sekondari
Kufunga Solar Majumba ya vijijini ya wananchi wa kawaida na vizito kadhaa.

Kama ungependa kuona client base yetu tafadhali tuwasiliane na unakaribishwa.

Bei inategemea na ukubwa wa mradi, ila bei inaridhisha, na kazi unapata ya uhakika.

Mawasiliano

Office Location
Arcade House, 1st Floor, Old Bagamoyo Road, Mikocheni B

Address
P.O .Box 29961
Dar es Salaam

Mobile:
+255 (0) 654 322 585

Email: info@espitechtz.com

Website: Espitech | Home

Chanzo: https://www.jamiiforums.com/matanga...ika-umechoshwa-na-luku-mgao-upo-kijijini.html
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…