Laptops and Mobile phones for sale

Laptops and Mobile phones for sale

Niko moshi ila nataka uweke bei kwanza ndo nikupigie simu, sinunui mbuzi kwenye gunia
 
Compaq 615,160gb of harddisk,2gb ram,ina webcam..
Piga 0719373606
 
sony vaio 320gb of hard disk,3gb ram.....pia kuna hp dv6 620 gb,6gb ram...core i5
piga 0719373606
 
Safi mwambie bei bei! Akiweza hata picha sio mbaya!
 
bei ni maelewano wakuu..ukinitafuta tunaelewana then nakuletea mzigo
 
Kwa nini usimalizie na bei yaani bila bei mtu hapati ushawasho wa kukupigia amini mkuu
 
sony vaio 320gb of hard disk,3gb ram.....pia kuna hp dv6 620 gb,6gb ram...core i5
piga 0719373606

nina kama laki sita ivi za kitanzania napata ipi kati ya hizo ila napendelea hiyo hp
 
kuna dell 320gb of hdd and 2gb ram,pia kuna hp compaq of the same specification....
pia hp dv6 6gb ram...620 hdd core i5...my no 0719373606
 
Iphone 4s,32 gb..pia nina laptok del core i3,2gb ram..320gb hdd..pia hp dv6,6gb ram,620gb hddd..cal 0719373606
 
Back
Top Bottom