Laptop

SunStrong

Member
Jan 24, 2011
56
3
Wadau nina laptop mimenunua sasatel ila I WONDER WHY INAGOMA KUKONECT NA MODEM NYINGINE KAMA VODA,TIGO,AIRTEL
 
format na ufute kila kitu kilichomo na uanze upya kabisa.
 
una maana gani unaposema haiunganishi? Umeongea kijumla jumla sana. Hebu kuwa maalum basi! Eleza umefanyaje na nini hakifanyi nini!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom