Pamoja mkuuKwa Laptop kuna mamb muhimu 3 ya kuzingatia.
Processor:
Hii ni muhimu sana, ndio engine ya computer. Laptop za 2014 na kuendelea lazima iwe na Intel i3 processor model au AMD A6 processor na kuendelea....
Ram:
Ram ndio inaonyesha speed ya hardware kufanya kazi na software. RAM inapokuwa kubwa inakuwa na uwezo zaidi wa kutransfer data na pia huwa RAM zinakuwa na speed. Speed kwanzia 1600MHz na kuendelea ndio za kisasa.
HDD:
Hii ndio uwezo wa laptop yako kujaza data. Kustore data. Laptop kwanza GB500 ndio za mwaka 2014 kwa sababu ya HD video kuwa na data kubwa.
Basi ukiweza pata laptop kwanzia hizo specs hapo juu basi utakuwa na 3-6years bila tatizo la kuupgrade.