kiongozi itakuwa na shida upande wa cooling system tafuta fundi mueleze itakuwa ile feni iliyopo ndani ya PC ina matatizo muone fundi atakusaidia ndugu hilo tatizo lilishawahi kunitokea kwenye PC yangu.wakuu habari zenu pc yangu inatatizo nikiwasha kidogo inawahi kupata moto na inachemka balaa naomba kujua ni tatizo gan hilo masaada wenu
sema feni inazunguka lakin moto uko pale palekiongozi itakuwa na shida upande wa cooling system tafuta fundi mueleze itakuwa ile feni iliyopo ndani ya PC ina matatizo muone fundi atakusaidia ndugu hilo tatizo lilishawahi kunitokea kwenye PC yangu.
HahaFeni itakuwa imezeeka sasa badala ya kupuliza baridi inapuliza joto. Siunajua wanasemaga hata malaika akizeeka anakuwa shetani!?
Feni itakuwa imezeeka sasa badala ya kupuliza baridi inapuliza joto. Siunajua wanasemaga hata malaika akizeeka anakuwa shetani!?