Wadau naombeni msaada kwasasa laptop yangu inashindwa kabisa kufungua files.
Mfano nilfungua website ya TCU na kujaribu kufungua GUIDE BOOK 2014/15 ilishindwa na pia nikitaka kuangalia students selected to join various universities pia haifungui.
Ila zamani nilikuwa na uwezo wa kufanya yote haya.