make sure ku install display driver au kama zilikwepo labda zimepata malfunction hivyo reinstall ikishindikana tutatafuta tatizo penginewakuu naomba msaada,nina laptop aina ya DELL Latitude e6400,kuna wakati inaonyesha vizuri ila kuna wakati mwanga unakuwa hafifu sana hata ni ngumu kuona kitu. Msaada tafadhali
asante sana kwa ushauriChukua Aina ya computer yako then Google driver za mwanga.
asante sana kwa ushauri mkuumake sure ku install display driver au kama zilikwepo labda zimepata malfunction hivyo reinstall ikishindikana tutatafuta tatizo pengine
Kila computer Ina driver zake. Google.unaweza ukawa unafahamu jina la hiyo driver mkuu,ili niitafute kirahisi zaidi
wakuu naomba msaada,nina laptop aina ya DELL Latitude e6400,kuna wakati inaonyesha vizuri ila kuna wakati mwanga unakuwa hafifu sana hata ni ngumu kuona kitu. Msaada tafadhali