Laptop yangu imekata sauti ghafla, msaada tafadhali

Mi PC yangu HP baada ya kubadirisha window,ukichomeka pin ya earphone haifanyi kazi, haiwezi kupunguza mwanga, wala wifi button ukibonyeza haifanyi kazi sijui tatizo litakuwa driver na kama ndio nitazipataje?
Hiyo PC ni nzima kabisa, HP maranyingi wanatatizo hilo. Nenda kwenye sound drivers halafu udownlod ya zamani itafanya kazi.
 
Back
Top Bottom