Laptop yangu haiwaki baada ya kusafisha na kitambaa chenye maji. Tatizo nini?

felistian

Member
Jan 15, 2017
6
3
Naombeni ushauri, nimesafisha kioo cha laptop yangu kwa kitambaa chenye maji maji ikiwa imewaka baada ya kuizima na kuiwasha kioo hakiwak tena yaani ni black tu hakionyeshi kabisa. Tatzo nini jamani?
 
Nani alokwambia kioo cha laptop husafishwa kwa kitambaa chenye maji..
Angalia vizuri ikiwa imewaka kama maandishi au picha zinaonekana kwa mbali sana ?tumia torch..
Uje kujibu kama hakioneshi kitu kabisa
 
Nani alokwambia kioo cha laptop husafishwa kwa kitambaa chenye maji..
Angalia vizuri ikiwa imewaka kama maandishi au picha zinaonekana kwa mbali sana ?tumia torch..
Uje kujibu kama hakioneshi kitu kabisa
Nmeshaangalia hadi kwa toch hamna kitu na kitambaa klikua na unyevu unyevu sio maj kabsa na nlisafisha sehem ndogo san ambayo ilkua na uchafu sio kioo chote
 
Pole mkuuu, but screen monitor ya computer inasafishwa na kitambaa maalumu sio kwa maji na kitambaa cha kawaida..


Kama imezingua jaribu ku exchange screen monitor

Sent using Jamii Forums mobile app
 
siku nyingine uwe unafanya hivi unapotaka safisha kioo cha laptop/tv/monitor yako

Screenshot_1.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom