Wadau leo mchana nikiwa na laptop kwenye begi kwa bahati mbaya niliigongesha wakati napanda daladala, nimefika home naiwasha inawaka lakini kioo hakitoi mwanga.
Msaada wale wataalamu wa hizi mambo tafadhali
In this world nothing is certain than Tax and Death.