jmaroa
Senior Member
- Jul 29, 2014
- 111
- 23
Wapendwa ninahitaji laptop ya kununua.description iwe na ram ya 1gb -2gb na hard disc 100-200gb na processor wenye speed.screen size angalau iwe ya inchi 18 na bettery yake iwe wenye uwezo wa kukaa na charge (moto) angalau masaa mawili au matatu mwenye hivyo vyegezo anaweza kunitumia message kwenye mp.Naomba kuwasilisha.