Acha mkwara dogo kujua kufungua PC na kubadilisha RAM basi unajua security yote kwenye ITila kama ikiwa hacked au kufanywa chochote na wanahitaji kusaidiwa katika kuhakikisha wahusika wanatafutwa basi tunaweza kushauriana katika kuhakikisha wanapatikana popote walipo wenzetu rwanda
Yes inawezekana ndio maana nikasema mada hii ihamishiwe sehemu husika ili tuweze kulichambua vizuri , tutembelee hata katika office hizo tujue wanaziprotect vipi na tunaweza kusaidia vipi
kuna wakati laptop ya system administrator wa celtel iliibiwa , ilivyopatikana ikawa haina pwd na acont yake ni administrator unaona mambo kama haya ? Watu wanafanya nini huko makazini ??
Serikali na idara zake naamini wana policy maalumu ya kulinda yote hayo.........
hivi bwana mnyama kuna database ambayo naweza kupata majina ya wahalifu yote bila kukosea ?
Mbona nyie mnaongea kama vile mmesha confirm kuwa nini kimo ndani ya lap top ya Rais?
Vipi kama kuna habari specific zinazotafutwa na mtu ama watu flani ambazo impact yake tutai feel?
Na huo usalama wa Taifa ambao mnazungumzia nyie ni upi hu?
Ama wa ku protect habari za mafisadi?
Laptop ya JK haiwezi kuwa na kitu cha maana, sana sana utakuta hotuba zake tu ambazo siyo siri. Hivi wewe unafikiri JK anaweza kutumia Laptop kwa kitu productive? Hiyo laptop inayoongelewa siyo ya JK ya binafsi ila anatumia secretary wake wanapo safiri kwa ajili ya kufanya marekebisho kwenye hotuba na mambo mengine ya kama hayo. Nakuhakikishia usiwe na wasi wasi wewe tulia tu hapo marekani kwa amani
U mean What goes around, comes around?
Jamani laptop iliyopotea ni ya RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA na sio ya JK. Tuwe makini na ushabiki huu....
Tanzanianjema
Laptop ya JK haiwezi kuwa na kitu cha maana, sana sana utakuta hotuba zake tu ambazo siyo siri. Hivi wewe unafikiri JK anaweza kutumia Laptop kwa kitu productive? Hiyo laptop inayoongelewa siyo ya JK ya binafsi ila anatumia secretary wake wanapo safiri kwa ajili ya kufanya marekebisho kwenye hotuba na mambo mengine ya kama hayo. Nakuhakikishia usiwe na wasi wasi wewe tulia tu hapo marekani kwa amani
Laptop ya rais haijapatikana hadi leo?
Baadaye watu wa ikulu wenyewe walikanusha kuwa hakuna lap top iliyopotea, si ya Jk wala mlinzi wake
Mkuu Halisi, ninakuaminia tuletee dataz zaidi on this! Maana jamaa kwa carelesness sidhani kama kuna anyemzidi duniani.na hizi ni zake za kawaida.