Laptop problem

Laptop problem

Sugi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
1,392
Reaction score
295
Wadau laptop yangu dell,nikiiswitch on inashindwa kuboot na inaonesha message "disk error press alt ctr dell to restart"kila nikipress hizi keys inarestart na kudisplay the same message nifanyeje wakubwa?natanguliza shukrani,natumia window xp
 
hilo tatizo niliwahi kulipata hata mimi kwenye laptop yangu.mi nilichofanya ni nilifomati 2 laptop yangu maisha yakaenda kama kawaida
 
Thanx mkuu,ngoja nijaribu hii ki2
 
pia ni dalili mbaya kwa maisha ya hard disk yako...jitahidi kuwa na backup ya vitu vyako muhimu!
 
Nimejaribu kuformat inashindikana,maana hata kuboot inagoma!
 
I9ngia kwenye BIOS Set up kishacheki kama inasomeka fresh na specification zake ziko pouwa. Kama ziko puwa cheki filesystem ya hiyo hard disk pia check sector for error na kuzifiksi km zitakuwepo(yote hayo unafanya ikiwa km external sawa bosi, ila usiformat kwanza mpaka tuone km njia zote zimeshindikana. ukuishindwa pia download disk utility iakusaidia au hiren's ukishindwa nitafute nikusolvie, sawa mkuu?
 
I9ngia kwenye BIOS Set up kishacheki kama inasomeka fresh na specification zake ziko pouwa. /QUOTE]

Mkuu hapo umepatia sana, yaani mimi huwa nashindwa kwa nini watu wanakimbiliaga ku-format HD bila kuangalia SETUP kwenye BIOS za Computer zao kabla ya kufanya drastic changes ambazo mara nyingi hazihitajiki - mtu akiwa anaelewa vizuri bootup steps zikoje hawezi kukimbilia ku-format HD kabla ya kuangalia kama BIOS inaona primary drive kwanza na kwa BIOS za siku hizi you don't need to define naba za cylinder,sectors,type ya media yenyewe and what have you; vyote hivyo vinakuwa detected automatically au ku-press enter wakati cursol hikiwa kwenye Primary drive, hilo likishindika ndiyo unaweza kufikilia ku-reformat drive. Please remember kwamba computer hai-load operating system kabla haijafanya Power on self test na ku-load specs zote ambazo ziko defined/enabled kwenye Setup ya BIOS. Operating Sytem inakuja mwisho kabisa.
 
hiyo problem ninaweza kufix kama unaweza we nipigie 0718164448
 
Back
Top Bottom