Laptop nzuri ya lak 6 ni ipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Laptop nzuri ya lak 6 ni ipi?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Gazzer, Sep 24, 2012.

 1. Gazzer

  Gazzer Member

  #1
  Sep 24, 2012
  Joined: Sep 12, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  guyz nsaidieni nina laki 6 natafuta laptop nzuri..nichukue ya kampuni ipi?
   
 2. leh

  leh JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  mkuu, tumetoka kujadili hili jambo hapa --> ninunue laptop ipi
  soma ile thread, haswa post yangu. kama unataka kununua laptop, ingia madukani, cheki laptop za bei unayosema, then ziweke hapa zifanyiwe comparison ili ujue ni ipi bora, ila ujue hamna brand nzuri kuzidi zingine
  leh[​IMG]
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. k

  kalumuna Member

  #3
  Sep 24, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  binafsi nawakubali hp kwa sasa wanayo hp 630 iko poa kabisa,jaribu kuchek madukan
   
 4. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #4
  Sep 24, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,455
  Trophy Points: 280
  Hii hp iko poa ila tatzo lake kubwa liko kwenye zile button mbili za mouse baada ya muda zinazingua unakuta moja imebonye zaidi ya nyingine na zinaanza kuwa ngumu
   
 5. Gazzer

  Gazzer Member

  #5
  Sep 26, 2012
  Joined: Sep 12, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  thnx@all
   
Loading...