Mtukufu rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania, pole na majukumu ya kujenga nchi,changamoto ni nyingi ikiwa ni pamoja na suala la kidemokrasia,sigusi huko kwa sasa maana ni sehemu nyeti sana, ila leo mi nna ombi 1 tu,sisi walimu tunaomba utusaidie kwa kutupatia laptop,lengo ili zitusaidie kusoma distance learning maana nasikia tu humu mtandaoni eti ruhusa za masomo zimefutwa,ila mimi sijui kama kweli,ukileta basi tuwekee modem kabisa inayoingia laini yoyote,tupe na solar maana wengine hatuna umeme wa rea,pesa za mb tuongezee tu juu kwa juu kwenye salary,ukifanya hivyo utanikosha kweli,maana mi hadi leo najuta kuikosa ile promotion ya elimu, elimu, elimu, na hasa nachanganyikiwa nnapoambiwa mkopo wa elimu ya juu sipati,kazi njema.