Laptop kwa walimu wote na million 50 kila kijiji bado kitendawili.

Differential Equations

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
204
200
Ndg zangu ahadi hizi za mkulu na ilani ya CCM imechukua sura mpya mpaka sasa miaka 2 imeshaenda hakuna dalili za million 50 kila kijiji wala laptops kwa walimu wote.

Wanasiasa sio watu Wa kuaminika kabisa, Mimi sidanganyiki tena kwa ahadi yoyote itakayotolewa 2020 ninajitambua sasa.

Je ahadi hizi zitatimizwa lini??

Watu Wa LUMUMBA naombeni mnitoe wasiwasi na dukuduku langu.
 
Hizo smartphone hamuwezi kuzitumia ndio mpewe laptop?chama hakina muda wa kupoteza feeezaaa
 
Back
Top Bottom