laptop inanizingua keyboard

laptop inanizingua keyboard

JINSI Y A KUFANYA
  1. Install windows 7 &, kisha hakikisha drivers zote zimekewa installed.
  2. KIsha tafuta software ili ufanye backup ya drivers zote za hiyo windows 7 uliyoweka, - Tumia Driver pack solution lite
  3. Ondoa windows 7 na weka windows 8 au 8.1 katika hiyo PC
  4. Tumia ile back up ya drivers za windows 7, kufanya installation ya drivers katika windows windows 8
nb: Kama utatumia windows 7 x32bit kufanya drivers backup, Basi windows 8 utakayoweka nayo iwe x32bit
Hapo utakuwa umetatua hilo tatizo la Resolution katika PC yako. Hii ndio njia niliyoitumia hivi karibuni kwa LENOVO B590, n NA DELL INSPIRON 15 3000 series. Maana driver pack zote nilizonazo zilishidwa kuziweka drivers za graphic hata baada ya kutumia manual installation, na sikuwa mahala penye internet kwamba ningefanya download
Mkuu nimeisha weka win7 tayari, tatizo haikubali kuconnect na WIFI
nashindwa kufanya chochote maana notebook yangu haina internet..
je kuna driver lazima niweke ndio ikubali kuconnect? na je nitaziwekaje iwapo kimeo hakina net.....natumia simu
 
Download wireless driver in another laptop
 
Download wireless driver in another laptop
Problem solved
nime download drivers kwenye simu nikazihamishia kwenye laptop, nika install now everything oky
 
Option 1
V5CLML

Kuweka ON | fn + numb lk
kuweka OFF | fn + numb lk
Option 2

  • Bofya kwa pamoja Crtl + fn kisha bofya mara mbili SHIFT
  • Hapo utafanikiwa | Karibu

Ahsante mkuu
 
Back
Top Bottom