juniour12
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 407
- 378
Laptop yangu imegoma kuwaka,nikiwasha inakuwa ina nguruma kama feni inayozunguka kwa mbali but haidisplay kitu chochote kwenye screen.
But kabla haija goma kuwaka ilikuwa ikistack baada ya kuitumia kwa muda mrefu,Ilikuwa ikiniletea ujumbe ufuatao...Naombeni msaada kuna document na vitu vyangu vya muhimu sijui nitavipataje.