Laptop inagoma ku Send file

sayicom

Member
Jul 2, 2011
66
1
habari wataalam laptop yangu aina ya Dell latitude D 531 inatatizo la ku Send File yeyote ile iwe Music,picture kwenda kwenye Flash. External HDD inaanda FILE INTEGRITY VIOLATED naombeni msaada nini tatizo?
 
huyo atakuwa mdudu au kama una program unayotumia kucopy ma file mfano tera copy itoe ndiyo inaweza kuwa inasababisha tatzo hilo
 
huyo atakuwa mdudu au kama una program unayotumia kucopy ma file mfano tera copy itoe ndiyo inaweza kuwa inasababisha tatzo hilo

ngoja nijaribu kuitoa Tera copy coz ndio nilikuwa natumia then nitakupa Feed back!!!
 
Back
Top Bottom