Wadau naomba msaada wenu juu ya laptop yangu aina ya microsoft surface go. Kwa bahati mbaya nilikuwa nabonyeza kuzima na kuwasha ndipo tatizo lilipoanzia ikaniletea maelezo ya bitlocker na ikawa inahitaji kuingiza key zilizopo hapo chini kwenye maelezo lakini nilipojaribu kuingiza kilichokubali kuandikwa ni namba tu herufi hazikubali. Naombeni msaada wenu
OPTIONS
1. Chomeka adapter kwenye PC halafu jaribu kuwasha
2. Chomoa batterry, kisha irudishie tena halafu jaribu kuwasha huku umechomeka na charger yake
3. Chomoa battery, bonyeza power button kama sekunde 20 kisha, rudisha battery na iwashe kama haijawaka chomeka adapter kwenye PC halafu iwashe