laptop imegoma kuwaka

laptop imegoma kuwaka

Old Moshi

Senior Member
Joined
Jul 31, 2011
Posts
118
Reaction score
32
naombeni msaada wakuu, laptop imegoma kuwaka. Tatizo ni nini? Na litatatulikaje?
 
Hujaweka information yoyote ndugu......aina gani ya laptop, ilianzaje? sasa hivi ukiwasha inafanyeje? (lazima kuna kitu inafanya) unafikiri tatizo limesababishwa na nini......ukibonyeza power Button inafanyaje......
 
labda anataka atizamiwe kwa njia ya bush doctor (ramli,)
 
Kwanza kabisa check umeme upo (ngere ja huwa hakawii sometimes), check connection zako za power kama ziko sawa. then twambie kini kimetokea ukiwasha tena.
 
naombeni msaada wakuu, laptop imegoma kuwaka. Tatizo ni nini? Na litatatulikaje?

Palm tree;
Lugha sahihi ni "imeshindwa ku-boot" na siyo kuwa "imegoma kuwaka".
 
asanteni kwa marekebisho. Ilistack nikaizima, nikawasha baadae ndo haikuwaka. Sasa ivi inawaka but after sometime inastack.
 
Unatumia laptop aina gani? yenye Operating System gani? na imekuwaje hadi ikagoma kuwaka? na tatizo hilo limeanza lini?
 
Back
Top Bottom