Nyie endeleeni mtakuja kulia nawaambienimbona specifications zake nzuri hivyo halafu bei ....................
Nyie akina nani? Tuendelee na nini? Tulie kwa nini?Nyie endeleeni mtakuja kulia nawaambieni
Laptop Dell core i7 GB 900, bei 450,000
Upo geita sehemu gani?. Mie nipo mphomvu kama vipi nije niionePia kama una MTU hapa Geita mtume aje aikague na akupe feedback na umpe yeye pesa atanilipa mimi
Nimeku pm..Umeiona machine lakini, ninaiuza kwa hasara sana
Ram 8
HDD 934
Core i7
7 th generation
Alafu ina dedicated video card hatari sanaKama una pesa hii mashine sio ya kuacha kabisa, hata kama huna shida nayo ...inunue tu hutajuta