Kuna duka iyo inauzwa m2. Tena ina dedicated graphics we ni nomaUmeiona machine lakini, ninaiuza kwa hasara sana
Ram 8
HDD 934
Core i7
7 th generation
Mkuu niwe dalali basi nakuletea mteja fasta tena wamkoani kwakoNashukuru kwa ushauri.
Bei unazipanga wewe mkuuNiambie nitapata ngapi, nikutumie uiuze huko, Nina pia core i5 with ubuntu
Mkuu laki tatu unachukua tufanye biasharaNiambie nitapata ngapi, nikutumie uiuze huko, Nina pia core i5 with ubuntu
Yeap, hii mashine dukani bila milioni something mtu hawezi kuipata.Alafu ina dedicated video card hatari sana
Bado hujaiuza??Nashukuru kwa ushauri.
Kaa kimya kama huna pesa usizibe riziki za watuYeap, hii mashine dukani bila milioni something mtu hawezi kuipata.
Kama jamaa hataiuza nikipata pesa naichukua niwe nazo bili
Hahaha, mimi sio mtu?Kaa kimya kama huna pesa usizibe riziki za watu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wabongo bana,
Bei ndogo wizi,
Bei kubwa njaa,
Bei ya halali punguza.
Wazee hio n bonge la mashne, achana na kwamb n core ngap, kua tu 7th Generation hio n inshu nyingne kbsa, kama una hela chukua hutojuta na kupata hii ofa labda mpk Mo arud
kama mimi, sielewag dell zaid ya Mac na Hp tena iwe probook ila hii mashine imeyumbisha msimamokweli pesa imekuwa shida hadi sasa huu mzigo upo sijawahi tamani product ya dell ila specification zimenivutia. Kama ipo bado npm mkuu
uzi bila picha sio uzi tena, utakuwa udakukama mimi, sielewag dell zaid ya Mac na Hp tena iwe probook ila hii mashine imeyumbisha msimamo
Mwenyewe nahisi huu mzigo una raha zakekama mimi, sielewag dell zaid ya Mac na Hp tena iwe probook ila hii mashine imeyumbisha msimamo