Toa namba basi tufanye biashara baada ya kuichunguza manake hiyo bei hai-make senseNi mpya kabisa, haina tatizo lolote, charge 6 hours watching. Bado Giza nitaweza papambazuke
Hahaa! Kumbe upo Geita sio?! Bila shaka hiyo ni kwa ajili ya watu wa GeitaGeita mjini
Sasa Mkuu, mzigo upo Geita Mjini, sasa utafanya fanya vipi kufanikisha hayo mauziano? Ilivyo ni kwamba, ni ngumu wewe kutuma mzigo bila kutumiwa pesa na mnunuzi hawezi kutuma pesa kabla hajauona na kuu-verify mzigo!0744727033
Hahahaa!Mtoa tangazo ana kigugumizi
For?!Sorry