laptop aina ya vizio

laptop aina ya vizio

komeka

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2013
Posts
1,072
Reaction score
404
Imetoka Dubai ni mpya kabsa ina 150gb na ram 4gb bei maelewano nicheki na pm au pigs hii namba 0719100531
 
Imetoka Dubai ni mpya kabsa ina 150gb na ram 4gb bei maelewano nicheki na pm au pigs hii namba 0719100531
tuambie aina ya model ? vizio ngapi ngapi??? processor ngapi?? screen inch ngapi?? maelezo zaidi mkuu ikibidi disclose na bei
 
tuambie aina ya model ? vizio ngapi ngapi??? processor ngapi?? screen inch ngapi?? maelezo zaidi mkuu ikibidi disclose na bei

mkuu si mtaalam sana wa mambo hya Kuna ndugu yngu katoka nayo Dubai km vp ni pm namba yko nikurushie picha kwny whatsap
 
Hii ni laptop wakuu mwny interest anichek whtsap kwny whtsaap namba 0753947515 nimtumie picha
 
mkuu si mtaalam sana wa mambo hya Kuna ndugu yngu katoka nayo Dubai km vp ni pm namba yko nikurushie picha kwny whatsap

Wewe weka specification. Pia hiyo picha weka hapa tuione
 
huwezi kushindwa kuweka picha hapa?? basi weka model yake hapa pamoja na service tag. tuta Google wenyewe specs zake.
 
hizo ni frequency za ram. sio processor

WRONG!! Not even RAM has those frequencies. Most rams are either 1333MHz, 1600MHz, or 1833MHz depending on their generation
 
Back
Top Bottom