Laptop Advisory

Laptop Advisory

Kwa njee ni sehem(Nchi) gani zinatokea?
1. Hupati Spectre na hizo convertible za maana kwa laki 7, umekosa kosa angalau 1.5M lakini nyingi nzuri zinaanzia 2M

2. Processor za K hazikai kwenye laptop za kawaida sembuse hizo convertible unazikuta kwenye desktop tu Tena desktop kubwa zenye nafasi na cooling ya kutosha.

Kwa hio laki 7 unapata tu laptop ya kawaida yenye i3 ama i5 used na Nvidia low end x50 kushuka, ambayo inaweza ikazidiwa na Intel HD za kisasa.

Ushauri Kama upo serious jichange agizishia online laptop yenye ryzen 5 2500U zinapatikana Around dola 400, Zina balance ya cpu na Gpu kwa Bei nafuu. Au zitafute dar Kama wameshaanza kuleta refurbished, ila sijawahi ziona Hapa bongo.
 
iyo inazidiwa na Core i3 Pro 3.0 Ghz
Swali ni, kwa matumizi yapi?

Kwa GPU iliyinayo haihitaji processor yenye spidi sana. Matumizi makubwa ya CPU kwa mtu wa kawaida ni video rendering & encoding na gaming ambapo kwenye hiyo mashine yanabebwa na GPU.
 
Swali ni, kwa matumizi yapi?

Kwa GPU iliyinayo haihitaji processor yenye spidi sana. Matumizi makubwa ya CPU kwa mtu wa kawaida ni video rendering & encoding na gaming ambapo kwenye hiyo mashine yanabebwa na GPU.
Matumiz ni Graphics
 
Then the graphics card matters more
Sawa mkuu ivi utafauti wa SSD na HDD ni upi na faida za SSD zikoje?
na utanishaurije kuhusu SSD nikitaka kuvuta PC mpya matumizi ni Graphics
 
dronedrake mzeebaba naomba niambie games gani naweza kucheza kwa hizi specs
@dronedrake
Image.jpeg
 
Back
Top Bottom