LAPF waanza kuita watu kwenye interview

Wakuu, mie wamempigia referee wangu, kuwa naitwa kwenye interview ya LAPF PALE DUCE, sasa si tutakuwa nyomo wadau? Maana jamaa ndio ameniambia muda huu,nafikiria nitapata wapi, calculator, na hizo pasport size, na pia niataagaje job, maana taarifa ndio imefika mda huu@?ok nitajua hiyo baadaye,
 

Blabla
 
daah siku hizi CPAs zimekua nyingi sana, NBAA waanze kukaza papers kwani watu wana CPA halafu hawana kazi, inaakuwa haina maana ya professional degrees
accountant post tulikuwa sabini na ilikuwa ni CPA(T). afu tofautisha kati ta kusaka ajira na kusaka maslahi zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…