LAPF waanza kuita watu kwenye interview

Ni mara chache sana kufanya refference mkuu ulipotoka mkuu wangu.

wakikuuliza unaweza weka hata namba ya mshikaji. ukiwa mkweli wakati mwingine hufanikiwi. Mimi yenyewe niliwahi sota kitaa ila cv inaonyesha baada ya chuo nimepiga mzigo
 
wakikuuliza unaweza weka hata namba ya mshikaji. ukiwa mkweli wakati mwingine hufanikiwi. Mimi yenyewe niliwahi sota kitaa ila cv inaonyesha baada ya chuo nimepiga mzigo

Pamoja sn makamanda itabidi nianze sasa kufanya editing ya ka Cv kangu maana kama hzo qualifications za uhasibu ni nazo ishu ni hyo experience!

cc: KAKA YAKO NA PITA & PRINCE AKEEM
 
hata ukidownload jamaa watakupigia tu ukiwa kazini au akirudi kwao likizo,unadhani akikutana na mpenzi wa zamani akiwa likizo atamkataa
 
hizi nafasi ni zile ilikuwa lazima utume maombi lapf dodoma?....
 
Habari zenu wandugu naombwa kujazwa kana kuna mtu aliyeomba nafasi ya compliance officer LAPF kama kaitwa kwenye interview
 
Habari zenu wandugu naombwa kujazwa kana kuna mtu aliyeomba nafasi ya compliance officer LAPF kama kaitwa kwenye interview

Mim nimeitwa compliance officer pale DUCE saa mbili asubuhi niende na
1.passport size tatu coloured
2.calculator
3.kitambulisho
4.vyeti halisi
Ni tarehe 11/7/15
 
Hata compliance officer wameanza kuita ni pale DUCE tarehe 11/7/15 wamesema kwenda na
1.vyeti
2.passpot size tatu coloured
3.kitambulisho
4.calculator
Muda ni saa mbili asubuhi

Uliapply hiyo post ya compliance officer?

Wamekupigia simu lini? Ili nianze kukaa karibu na cmu maana niliomba hyo post pia
 
Mim nimeitwa compliance officer pale DUCE saa mbili asubuhi niende na
1.passport size tatu coloured
2.calculator
3.kitambulisho
4.vyeti halisi
Ni tarehe 11/7/15

wewe KAKA YAKO NAPITA kumbe mwaka jana hukupata nafasi za fire bz mara nyingi nakumbuka ulikua unawapa watu kinachoendelea na tulikua tukiulizana majina yashatoka au?
 
Hawa jamaa mbona hawaeleweki aise, wanaita post ngapi au zote......? Na kwanini wasitoe na PDF kwenye website yao hili kupunguza presha za watu kuliko kuwafanya watu wawe matumbo joto na simu zao
 
Uliapply hiyo post ya compliance officer?

Wamekupigia simu lini? Ili nianze kukaa karibu na cmu maana niliomba hyo post pia

Kaa karibu tu na cm yko kamanda coz inavyo semekana walianza kuita tangu juzi (j5) kwa post ya accountant ila mimi nimepigiwa jana mida ya sa9 kwa post hiyo ya accountant but pia niliomba accountant na hiyo ya compliance officer ila nimepigiwa hii ya accountant!

Ila from reliable source ni kwamba walianza kuita post za accountant tangu juzi sijui leo kama wameanza kuita za compliance officer!
 
Kwa wenye ufahamu maswali yao yakoje kwa post ya compliance officer maana calculator kama inahusika wengine hesabu ni majanga
 
japo hawajaniita...bt nahisi..
ni vyema ukasoma calculation zao za mafao.
krem fomula zote...and how to apply it.
 
hiyo ni upande wa mahesabu..
huko kwingine jitahidi uwe na uelewa tu.
 
Ngoja nianze kupga jalamba mpaka hiyo trh11 ntakuwa nshaiva kuwa Mr mathematician. Interview za duce/ifm ni nyomiiii ila kujipa moyo
 

CPA haubahatiki kuipata ila wewe ni Kipanga mkali, Genius nk taaluma hii ni ngumu tunaijua wenyewe, mikimiki ya MANAGEMENT ACCOUNTING migumu kwaiyo jikubali kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…