thanks but that much i know, nauliza mafao wapi wako vizuri mkuu
NSSF wanakata 10% na mwajiri 10% wakati LAPF wanakukata 5% na mwajiri 15% hiyo pekeyake tu ilinifanya nikimbie NSSF na kujiunga na LAPF kwa kuwa kila mwezi na save 5%
kikubwa ni kwamba 20% of your salary must go there, either 5 by 15 or 10 by 10. mengine mbwembwe!
ppf baba
sasa we jamaa unakuwa kama ujasoma ratio pr school ukiangalia ratio ya muda wa kuanza operation na no of customers bado lapf ni iko juu maana imechelewa kuanza lakini speed yake ni kubwa ktk ukuaji hivyo tumia statistic vizuri kuargue.Mifuko bora ni miwili tu PSPF na LAPF(wanatumia the same formula katika ukokotoaji mafao)ila kati ya hii miwili PSPF ndio mfuko mzuri sababu;
1/Wana experience ya muda mrefu ktk ku operate as a pension fund(1999) compared to LAPF ambao wame transform from PROVIDENT to PENSION FUND mwaka 2008.
2/PSPF wana ofisi kila mkoa wakati LAPF wana ofisi kati ya 6 tu Tanzania nzima
3/Mikopo ya nyumba PSPF ni baada ya miaka 5 tu wakati LAPF ni baada ya miaka 15
4/PSPF wanatoa mafao ya aina 12 wakati LAPF wanatoa mafao ya aina 6 tu
5/PSPF wana wanachama karibu 400,000 kwa mujibu wa takwimu za mwaka jana wakati LAPF ndo wanaitafuta 100,000
sasa we jamaa unakuwa kama ujasoma ratio pr school ukiangalia ratio ya muda wa kuanza operation na no of customers bado lapf ni iko juu maana imechelewa kuanza lakini speed yake ni kubwa ktk ukuaji hivyo tumia statistic vizuri kuargue.