Nina brother angu alikuwa chuo cha kodi kwenye training ya TRA siku hiyo ni kweli huyo afisa wa LAPF kapigwa marufuku na SSRA kujihusisha na semina za wanachama. Alkuwa anasema full uongo. Huitaji kwenda ofisi ya LAPF kuthibitisha, wewe Google na kama humwamini Google angalia website yao hakuna hicho kitu. Hii mifuko midogo midogo imejaa uongo.
unaweza kuchangia bila kuweka sifa za uongo na ukaelewela tu mkuu , unaposema clouds ni redio makini una maana gani ?Inaonekana huyu jamaa aliyeanzisha uzi huu anajua mambo ya katika hii Mifuko, sasa Ruge na team nzima ya Clouds The Peoples station kuweni makini na ikibidi hao jamaa jwa Mifuko wawe wanawaonesha barua kutoka kwa msimamizi wao, au msimamizi ajitokeza na aseme ukweli juu ya LAPF na pia GEPF nao wanafanya kosa kama hilo la kutangaza vitu ambavyo hawajapatiwa ruksa na msimamizi wao. Clouds ni redio makini na wengi tunaikubali hivyo tusaidieni kwa kurusha matangazo ya ukweli.
Mtoto wangu alikwenda Makao Makuu ya LAPF baada ya kusajiunga nao na alipoulizia mkopo wa kujikimu maafisa wa LAPF hawakumpatia jawabu la maana na waliishia kusema na wao wanasikia tangazo redioni na hawajui kwanini wakubwa wao wanatoa utangazo hilo.
Mkuu tujulishe kirefu cha SSRA
LAPF ni genge la wahuni..nimebahatika kuhudhuria semina zao wao ni kuponda mifuko mingine hasa PSPF ukiwauliza kuhusu products zao ni usanii tu kama tangazo la John kupata 6 billioni hapo hapo na nyumba na gari(mkopo wa elimu)..mfuko bora ni PSPF kwa huduma na mafao bora..ingekuwa uwezo wangu ningejitoa huku ni lipo nijiunge na hawa jamaa (PSPF)
hahaha!! huyo jamaa sintokaa nimsahau, ni muongo kinoma! enzi naajiriwa alikula sana vichwa. yani hawezi kufundisha bila kuiponda PSPF. anaitwa kagaruki, ana maneno utadhani mzaramo!Nina brother angu alikuwa chuo cha kodi kwenye training ya TRA siku hiyo ni kweli huyo afisa wa LAPF kapigwa marufuku na SSRA kujihusisha na semina za wanachama. Alkuwa anasema full uongo. Huitaji kwenda ofisi ya LAPF kuthibitisha, wewe Google na kama humwamini Google angalia website yao hakuna hicho kitu. Hii mifuko midogo midogo imejaa uongo.