BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
nahisi we ni kati ya wale wanaotongoza kwa kutaja matatizo ya mshindani
We Filipo koma, mie najulia wapi?
Siasa za majitaka.Kaka si ndio siasa zilivyo,hata pale nitakapowania ubunge kwenye jimbo lako nitawatongoza wananchi kwa kutumia ahadi zako ambazo hukuzitekeleza....
Kaka si ndio siasa zilivyo,hata pale nitakapowania ubunge kwenye jimbo lako nitawatongoza wananchi kwa kutumia ahadi zako ambazo hukuzitekeleza....
Kuna mahali kaguswa! Hah hah hah hah hah!