Habari zenu. . . . . . . .
Jaman jaman kuna WANAUME wengne wanapenda sifa sana
Yani hawajui hata kutongoza. . . . . . .
Siku ya kwanza 1 kukutana nae badala ya kuanza kusema shida yake utasiki ooh mi naitwa Mr flan hapa kote wananfaham nna chumba na Tv ooh mara nna magari na kiwanja mbezi najenga sa inahusu kumbe hana kitu. . .
Jaman wanaume jirekebishen sifa sio nzuri mtakuja kuumbuka gia zenu sio nzuri. . . . . . .
Hilo ndo langu la rohoni wewe je lako lipi
Bahati gani hii,nachoshukuru ni kujua kama wewe ni mdada,nilikuwa siku zote najiuliza.Na kilichonifurahisha ni kugundua kuwa uko singo,bahati nyingine hii.Nachoomba kujua kwa sasa ni kama milango iko wazi au imefungwa,kama i wazi nitashukuru ukinijulisha ili nimtaarifu Erickb52 na wakati ndio sasa.halafu nitakuomba upitia kwa babu Asprin kuna ujumbe wako

vp na we una gia zlezle
Aisee hichi chombo chako kabisa .
Muulize anaendesha Vorgue?? Siku hizi hatutaki wadada wenye njaa au ombaomba....Bahati gani hii,nachoshukuru ni kujua kama wewe ni mdada,nilikuwa siku zote najiuliza.Na kilichonifurahisha ni kugundua kuwa uko singo,bahati nyingine hii.Nachoomba kujua kwa sasa ni kama milango iko wazi au imefungwa,kama i wazi nitashukuru ukinijulisha ili nimtaarifu Erickb52 na wakati ndio sasa.halafu nitakuomba upitia kwa babu Asprin kuna ujumbe wako
Usiponiogopa sitokukataa,ila nilitoa pendekezo tu...
Mpendwa Magic,naomba nijitambulishe kwako.Habari zenu. . . . . . . .
Jaman jaman kuna WANAUME wengne wanapenda sifa sana
Yani hawajui hata kutongoza. . . . . . .
Siku ya kwanza 1 kukutana nae badala ya kuanza kusema shida yake utasiki ooh mi naitwa Mr flan hapa kote wananfaham nna chumba na Tv ooh mara nna magari na kiwanja mbezi najenga sa inahusu kumbe hana kitu. . .
Jaman wanaume jirekebishen sifa sio nzuri mtakuja kuumbuka gia zenu sio nzuri. . . . . . .
Hilo ndo langu la rohoni wewe je lako lipi
Muulize anaendesha Vorgue?? Siku hizi hatutaki wadada wenye njaa au ombaomba....
km yuko fit mwambie b52 ntamsaidia kutoa stress
Mpendwa Magic,naomba nijitambulishe kwako.
Kwa jina naitwa Bishanga Abashaija,
Makazi yangu ni Masaki kwenye li apartment langu,
Naendehsha li vogue na li cadillac,yote ni magari yangu,
Of course nina saa ya rolex,
X mass? X mass nitaisherehekea Melbourne Australia na friends,
Kazi: biashara, i bank with citibank.
Una swali la nyongeza? Kama unalo muulize secretary wangu Kongosho.
Una tatizo na cv yangu au niendelee .....?????
Aaaah kwa wewe kujielezea sio kitu cha ajabu maana hata jina lako linajielezea
Mambo mwaya!? Unajua kuna mimi ukiniona unanipenda tu bila hata maelezo!? Achana na masharobaro!
Mi nitakutongoza kwa matendo, sitatumia neno hata moja.Habari zenu. . . . . . . .
Jaman jaman kuna WANAUME wengne wanapenda sifa sana
Yani hawajui hata kutongoza. . . . . . .
Siku ya kwanza 1 kukutana nae badala ya kuanza kusema shida yake utasiki ooh mi naitwa Mr flan hapa kote wananfaham nna chumba na Tv ooh mara nna magari na kiwanja mbezi najenga sa inahusu kumbe hana kitu. . .
Jaman wanaume jirekebishen sifa sio nzuri mtakuja kuumbuka gia zenu sio nzuri. . . . . . .
Hilo ndo langu la rohoni wewe je lako lipi
Yaani hapo umeonyesha ubinadamu wako halisi wa kuogopa maneno yanayosemwa juu ya matendo yako maovu, badala ya kiogopa matendo yakosi nimeuliza tu!? Wife anahusika vipi hapo! Acha umbea nyau!
si nimeuliza tu!? Wife anahusika vipi hapo! Acha umbea nyau!