M MKIBAIGWAsharkss JF-Expert Member Joined May 25, 2017 Posts 574 Reaction score 1,358 Feb 8, 2025 #1 Wadau nataka kujitupa kwenye hio chuma naombeni ushauri wenu nataka nichukue ya mwaka 2014 yanye engibe code 204PT ina km 110k Attachments 824D117B-FAB7-48C1-AD33-8F53688CF996.jpeg 97.6 KB · Views: 21 F514A110-CBCE-476C-8E35-165DB1A4B2B4.jpeg 40.1 KB · Views: 24
Wadau nataka kujitupa kwenye hio chuma naombeni ushauri wenu nataka nichukue ya mwaka 2014 yanye engibe code 204PT ina km 110k
Offshore Seamen JF-Expert Member Joined Mar 9, 2018 Posts 5,678 Reaction score 14,563 Feb 8, 2025 #2 Hizo freelander second generation zinashare engine Ford, hiyo engine code angalia vizuri. Hiyo ni ya diesel au petrol
Hizo freelander second generation zinashare engine Ford, hiyo engine code angalia vizuri. Hiyo ni ya diesel au petrol
M MKIBAIGWAsharkss JF-Expert Member Joined May 25, 2017 Posts 574 Reaction score 1,358 Feb 8, 2025 Thread starter #3 Offshore Seamen said: Hizo freelander second generation zinashare engine Ford, hiyo engine code angalia vizuri. Hiyo ni ya diesel au petrol Click to expand... Ni ya petrol
Offshore Seamen said: Hizo freelander second generation zinashare engine Ford, hiyo engine code angalia vizuri. Hiyo ni ya diesel au petrol Click to expand... Ni ya petrol
Offshore Seamen JF-Expert Member Joined Mar 9, 2018 Posts 5,678 Reaction score 14,563 Feb 8, 2025 #4 MKIBAIGWAsharkss said: Ni ya petrol Click to expand... Ina cc ngapi, ya Ford Duratoque iliyo kwenye Hizo ni 2000cc na nyingine kubwa sio Ford ni 3600cc hii nadhani ni 6 cylinder
MKIBAIGWAsharkss said: Ni ya petrol Click to expand... Ina cc ngapi, ya Ford Duratoque iliyo kwenye Hizo ni 2000cc na nyingine kubwa sio Ford ni 3600cc hii nadhani ni 6 cylinder
M MKIBAIGWAsharkss JF-Expert Member Joined May 25, 2017 Posts 574 Reaction score 1,358 Feb 8, 2025 Thread starter #5 Offshore Seamen said: Ina cc ngapi, ya Ford Duratoque iliyo kwenye Hizo ni 2000cc na nyingine kubwa sio Ford ni 3600cc hii nadhani ni 6 cylinder Click to expand... Ina cc 1990
Offshore Seamen said: Ina cc ngapi, ya Ford Duratoque iliyo kwenye Hizo ni 2000cc na nyingine kubwa sio Ford ni 3600cc hii nadhani ni 6 cylinder Click to expand... Ina cc 1990
Offshore Seamen JF-Expert Member Joined Mar 9, 2018 Posts 5,678 Reaction score 14,563 Feb 9, 2025 #6 Chukua haina shida
M MKIBAIGWAsharkss JF-Expert Member Joined May 25, 2017 Posts 574 Reaction score 1,358 Feb 9, 2025 Thread starter #7 Offshore Seamen said: Chukua haina shida Click to expand... Ahsante kaka