Landmark za Hayati Magufuli zinazowatesa wale jamaa ambao hawakuacha chochote

October 2025 kama hawatotumia akili ya kwenda na msimamizi mkuu wa serikali aisee Kuna mmoja wa upinzani akiwa SMART anachukua ila huyo wa upinzani atatokea humohumo kwenye chama chao na atafata nyayo za JPM
 
Kweli kabisaa!
 
1. Mfugale flyover Kikwete
2.Shule za kata kikwete (kwangu Mimi nafikiri hakuna mradi mkubwa na muhimu nchi hii kama huu)
3. Mwendokasi kikwete
4. Mloganzila kikwete
5.Daraja la kigamboni Kikwete
6. Kuunganisha nchi nzima Kwa lami ni Kikwete
7.Chuo kikuu Dodoma Kikwete
8. Mikopo vyuo vikuu Kikwete(Hii ni moja ya mambo makubwa kuwahi kufanyika nchi hii)
9. Umeme wa Rea n.k
Mkuu, utalazimika kutaja miaka miradi hiyo ilipoasisiwa, utekelezaji wake n.k ili niamini usemayo.

Shule za kata ndo kubwa nchi hii? Unajua wanaishia wapi hao? Labda nikujuze tu, goli limepanulia chini huko ili wao waendelee kuwatawala na vizazi vyao.

Mikopo vyuo vikuu? Kwani mikopo imeanza mwaka gani? Maana kuna watu wamesoma kwa mikopo kabla jamaa hajagusa ikulu nadhani?
 
Huyu Mwamba "JPM!"

John Pombe Magufuli ameondoka Dunia na hatarudi kamwe.Hii ni kanuni ya ki-maumbile ya Ki-dunia,kulingana na mafundidho ya vitabu vitakatifu vya Mungu kwamba kila nafsi itapitia hatua hiyo kwa muda wake utakapiwadia.

Mimi ninachofurahia ni jinsi Magufuli alivyoacha "Landmarks" lukuki ambazo zinawatesa hawa wapigaji wa kisasa wa kisiasa!

Hawawezi kumfuta Magufuli kirahisi ilhali kaacha Landmark kila kona ya nchi

Nitaziorodhesha hapa na muelewe sababu ya Magufuli kutofutika kirahisi Hapa nchini.

IKULU ya Chamwino-Dodoma.
BWAWA LA UMEME la Nyerere.
MJI WA MAGUFULI MTUMBA-Dodoma.
UKUTA wa Mererani-Manyara.
DARAJA la Tanzanite-Dar es Salaam.
FLYOVERS ya Mfugale -Dar es Salaam.
STENDI YA MAGUFULI-Dar es Salaam.
BARABARA NJIA SITA-Ubungo mpaka mbezi na kuendelea mlandizi.Dar es Salaam.
STENDI KUU -Morogoro.
SOKO KUU-Mwanza.
STENDI KUU-Nyegezi,Mwanza.
STENDI KUU-Nyamhongolo Mwanza.
UWANJA WA NDEGE-Chato.
DARAJA LA WAMI- TANGA.
BOMBA LA MAFUTA -Hoima Uganda mpaka Tanga Tanzania.
RELI YA SGR-Dar es Salaam mpaka Mwanza.

Hizi ni Landmarks na sio vitu vinavyohamishika.ndio maana sijataja Meli wala Ndege.
Kuna pia Zahanati zaidi ya 478 pamoja na hospitali za Wilaya,Rufaa pamoja na za kanda kama Hospitali ya Rufaa Chato.
Kiongozi kama huyu huwezi futa legacy yake kwa kutumia keyboard.

Halafu watu fulani wenye kushiriki uovu kupigana na Legacy ya JPM huku wakitaka kuzitumia hizo Landmarks za JPM kwenye uchaguzi ujao wa 2025.Ushahidi uko wazi.

Watuambie kwanza hizo awamu zingine ukiondoa ya Baba wa Taifa JK Nyerere(R.I.P),na pia Benjamin Mkapa(R.I.P).

Hao wengine watuambie legacy zao walizotuachia kama taifa!
Ni nini na zinatusaidiaje kwa sasa?
Busisi bridge mkuu umesahau
 
Upanuzi wa Umeme Vijijini: Serikali ya Magufuli iliweka juhudi za kupanua upatikanaji wa umeme katika maeneo ya vijijini kupitia miradi mbalimbali ya umeme, lengo likiwa ni kuboresha hali ya maisha na kuchochea maendeleo ya kiuchumi katika maeneo ya mbali.

Ungaji Mkono Sekta ya Kilimo: Alianzisha mipango ya kuunga mkono wakulima wadogo, ikiwa ni pamoja na kutoa pembejeo kwa bei nafuu, kuboresha mifumo ya umwagiliaji, na kukuza mbinu za kilimo za kisasa ili kuongeza uzalishaji wa kilimo na uhakika wa chakula.

Uwekezaji katika Elimu; Magufuli alisisitiza umuhimu wa elimu na kutenga rasilimali kuboresha miundombinu ya shule, kuajiri walimu, na kuboresha ubora wa elimu nchini kote.

Majadiliano ya Kidiplomasia: Serikali yake iliendesha diplomasia ya aktivi, kusitawisha uhusiano na nchi jirani na washirika wa kimataifa, ambayo ilichangia hadhi ya Tanzania katika jukwaa la kimataifa na kufanikisha ushirikiano katika maeneo mbalimbali kama biashara, usalama, na maendeleo.

Mageuzi katika Sekta ya Umma: Magufuli aliendesha mageuzi kusafisha operesheni za serikali, kupunguza urasimu, na kuboresha utoaji wa huduma, kupitia juhudi kama vile kidijitali katika huduma za serikali na jitihada za kuboresha ufanisi katika taasisi za umma.

Maelezo haya ya ziada hutoa mtazamo kamili zaidi wa mafanikio yanayohusishwa na urais wa John Pombe Magufuli, ukiangazia njia yake mbalimbali ya utawala na maendeleo nchini Tanzania.

Machepele Tanzania.
Porojo za yule mlevi wa madaraka, mbona hujataja na lile kundi lake la watu wasiojulikana?
 
1. Mfugale flyover Kikwete
2.Shule za kata kikwete (kwangu Mimi nafikiri hakuna mradi mkubwa na muhimu nchi hii kama huu)
3. Mwendokasi kikwete
4. Mloganzila kikwete
5.Daraja la kigamboni Kikwete
6. Kuunganisha nchi nzima Kwa lami ni Kikwete
7.Chuo kikuu Dodoma Kikwete
8. Mikopo vyuo vikuu Kikwete(Hii ni moja ya mambo makubwa kuwahi kufanyika nchi hii)
9. Umeme wa Rea n.k

Kifupi kila mtu kafanya Kwa nafasi yake na Kwa muda wake . Mambo ya kusema JPM ndo alifanya makubwa kuliko wenzie ni uongo na kutokuwa na Data sahihi . Ukienda kwa comparison hii unayotumia wewe JPM anaweza kuwa wa mwisho (Based on data & Statistics)

Kwa nini nasema ulinganifu huu haufai? Mfano Samia anaweza kuwa amejenga kipande kikubwa cha mwendokasi kuliko hata Kikwete au kumkaribia lakini mwendokasi muanzilishi ni JK. Tuchukue mfano wa Mkapa kuja na muundo wa taasisi Kama TRA, we unadhani ni Raisi gani anaweza kushindana na hii ? Hata mradi wa shule za kata tu kushindana nao ni mziki ndo maana nasema ulinganifu wako haufai
Sasa huyo jk amekaa miaka kumi Kwa vimiradi uchwara vipi mwamba magu angetoboa kumi unaonaje? Si tungekua kama Dubai? Hivi unajua garama ya kujenga ikulu? Hivi unajua garama ya kujenga Dodoma na kuhamishia serikali huko? Unafikiri ni mambo madogo kama kidaraja Cha hapo kigamboni ambacho hakina sifa ya busisi? Leo hii sisi watu wa kaskazini tumeisahau wami ni kama tambarare Kwa sababu ya magu kitu pekee kikwete alichomzidi nacho magu ni ufisadi tu
 
Huyu Mwamba "JPM!"

John Pombe Magufuli ameondoka Dunia na hatarudi kamwe.Hii ni kanuni ya ki-maumbile ya Ki-dunia,kulingana na mafundidho ya vitabu vitakatifu vya Mungu kwamba kila nafsi itapitia hatua hiyo kwa muda wake utakapiwadia.

Mimi ninachofurahia ni jinsi Magufuli alivyoacha "Landmarks" lukuki ambazo zinawatesa hawa wapigaji wa kisasa wa kisiasa!

Hawawezi kumfuta Magufuli kirahisi ilhali kaacha Landmark kila kona ya nchi

Nitaziorodhesha hapa na muelewe sababu ya Magufuli kutofutika kirahisi Hapa nchini.

IKULU ya Chamwino-Dodoma.
BWAWA LA UMEME la Nyerere.
MJI WA MAGUFULI MTUMBA-Dodoma.
UKUTA wa Mererani-Manyara.
DARAJA la Tanzanite-Dar es Salaam.
FLYOVERS ya Mfugale -Dar es Salaam.
STENDI YA MAGUFULI-Dar es Salaam.
BARABARA NJIA SITA-Ubungo mpaka mbezi na kuendelea mlandizi.Dar es Salaam.
STENDI KUU -Morogoro.
SOKO KUU-Mwanza.
STENDI KUU-Nyegezi,Mwanza.
STENDI KUU-Nyamhongolo Mwanza.
UWANJA WA NDEGE-Chato.
DARAJA LA WAMI- TANGA.
BOMBA LA MAFUTA -Hoima Uganda mpaka Tanga Tanzania.
RELI YA SGR-Dar es Salaam mpaka Mwanza.

Hizi ni Landmarks na sio vitu vinavyohamishika.ndio maana sijataja Meli wala Ndege.
Kuna pia Zahanati zaidi ya 478 pamoja na hospitali za Wilaya,Rufaa pamoja na za kanda kama Hospitali ya Rufaa Chato.
Kiongozi kama huyu huwezi futa legacy yake kwa kutumia keyboard.

Halafu watu fulani wenye kushiriki uovu kupigana na Legacy ya JPM huku wakitaka kuzitumia hizo Landmarks za JPM kwenye uchaguzi ujao wa 2025.Ushahidi uko wazi.

Watuambie kwanza hizo awamu zingine ukiondoa ya Baba wa Taifa JK Nyerere(R.I.P),na pia Benjamin Mkapa(R.I.P).

Hao wengine watuambie legacy zao walizotuachia kama taifa!
Ni nini na zinatusaidiaje kwa sasa?
Umesema kweli kabisa. Hizo legacy alizoziacha kulingana na rekodi ya tume ya uchaguzi kwenye uchaguzi mkuu 2015,ndio maeneo yaliyoipigia kura nyingi ccm ukiacha Dar ambako japo hawakumpa kura nyingi hakuwa na chaguo,ndilo mkoa unaotegemewa na hazina ya taifa kiuchumi huwezi kukwepa kuwekeza.
Sasa unamsifia kwa kuacha legacy ya ubaguzi wakati fedha hazikuwa zake ni Kodi ya wananchi wote waliompigia kura na wasiompigia, hata hivyo na walilipa Kodi na bado,akawadhulumu kwa kutamka mwenyewe wasahau maendeleo, kisa hawakumpigia kura.
Kuna wakati tunapaswa kufikifiri kabla ya kuandika. Basi jaribu kuwa mkweli kwa kuorodhesha miradi iliyojengwa kwenye wilaya ya Chato peke yake na ufanye comparison na mmoja wa mikoa ulioitaja kwa thamani ya miradi. Ni kweli alikuwa mtendaji mzuri sana shida alikuwa mbaguzi. Eti ukichagua mpinzani umechagua gunzi.Ni hoja za hovyo sana wakati.mfumo wa vyama vingi ulipitishwa na ccm tena wakiwa ni wengi bungeni wakati huo.
Kifupi hiyo legacy haina tofauti na ilioachwa na wakoloni kabla ya uhuru.
 
Mkuu, utalazimika kutaja miaka miradi hiyo ilipoasisiwa, utekelezaji wake n.k ili niamini usemayo.

Shule za kata ndo kubwa nchi hii? Unajua wanaishia wapi hao? Labda nikujuze tu, goli limepanulia chini huko ili wao waendelee kuwatawala na vizazi vyao.

Mikopo vyuo vikuu? Kwani mikopo imeanza mwaka gani? Maana kuna watu wamesoma kwa mikopo kabla jamaa hajagusa ikulu nadhani?
Kuhusu watu wa shule za kata kuishia wapi hilo ni suala lingine ila ilitoa fursa ya elimu Kwa watu wengi sana , sana . Kumbuka elimu ya form four ni daraja muhimu Kwa vitu vingi sana

Mikopo ya vyuo vikuu ilikuwepo lakini Kwa watu Wachache sana na Kwa vyuo vichache . Kikwete aliipeleka hii mikopo kwenye level nyingine kabisa na ukisema mikopo kuwepo before sawa nikwambia hakuna kitu kipya ambacho hakikuwepo. Madaraja na barabara zilikuwepo so hata JPM alivikuta akaendeleza (nothing new)

Counting Miradi ya JPM ni michache mno inahesabika (inawezekana ni muda mfupi aliokaa madarakani) kulinganisha na wengine na ndo maana kule juu nilisema mkienda Kwa data JPM hamfikii JK hata robo .

Kwa DSM tu au nchi nzima hii tukisema tu isolate miradi ya barabara basi nikwambie hakuna mradi mkubwa wa barabara na wa ubunifu Kama mradi wa mwendokasi. Ni mradi ambao East central Africa hauukuti, Waulize wakenya wanyarwanda wacongo wazambia waliokuja DSM watakwambia na mradi huu unaendelea kupanuka but now one makes noise about it Kwa sababu ni mambo ya kawaida kujenga nchi ni kazi ya serikali wala hatutakiwi kupiga piga kelele sababu ni kazi yao
Na nikadokeza ulinganifu huu haufai
 
Sasa huyo jk amekaa miaka kumi Kwa vimiradi uchwara vipi mwamba magu angetoboa kumi unaonaje? Si tungekua kama Dubai? Hivi unajua garama ya kujenga ikulu? Hivi unajua garama ya kujenga Dodoma na kuhamishia serikali huko? Unafikiri ni mambo madogo kama kidaraja Cha hapo kigamboni ambacho hakina sifa ya busisi? Leo hii sisi watu wa kaskazini tumeisahau wami ni kama tambarare Kwa sababu ya magu kitu pekee kikwete alichomzidi nacho magu ni ufisadi tu
Post ya namna hii siwezi jadili na wewe maana umejaza hisia . Ufisadi nchi hii haujawahi kuisha na Kwa record za CAG (data) hata kipindi cha JPM kulikuwa na ufisadi wa kutisha. Pitia report za CAG kipindi hicho labda nikukumbushe tu suala la 1.5 tril lilivyoleta sintofaham ya mambo mengi sana. Kwa hiyo ufisadi haujabadilika na hili alilidhinitisha JPM mwenyewe Kwa tumbua tumbua zake ambazo hazijawahi kuisha. Hizi tumbua tumbua zipo alizikuta akaziendeleza na bado zinaendelea na hii inadhibitisha mapungufu yapo aliyakuta yakaendelea na akayaacha

Unataka daraja la kigamboni liwe na sifa ya busisi ili iweje ? Kwa waliokaa kigamboni enzi hizo na sasa wanajua ni kiasi gani kigamboni imebadilika Kwa sababu ya daraja hili, Kigamboni imekuwa sehem tofauti kabisa sababu ya daraja hili. At the same time Daraja la busisi analijenga Samia Kwa kiasi kikubwa

Ulinganifu mnaotumia haufai maana Kama kuhamia Dodoma ni gharama je unajua gharama ya kuunganisha barabara nchi nzima ? Unaijua gharama ya kupeleka umeme nchi nzima ? Unaijua thamani (achana na gharama) ya kujenga shule za kata nchi nzima ? Unaijua thamani ya mikopo ya vyuo vikuu hadi private Universities? Hivi vitu ni vikubwa mno kiasi kwamba hata thanani yake ni kubwa sana huwezi kui calculate kwenye calculator.
IMG_7312.jpeg
IMG_7313.jpeg

Unajua chuo kikuu cha Dodoma ni kikubwa kiasi gani ? Kwa taarifa yako ndo chuo kikubwa kuliko vyote nchini. Chuo hiki kikikamilika au ku operate fully kitaweza kuchukua zaidi ya wanafunzi elf 45 , yan in summary UDOM ni kikubwa mara tatu ya UD. One of the valuable and biggest projects the country ever had . Sasa unataka kujua faida ya chuo kikuu ? 😂😂 Faida yake ni kubwa haiingii kwenye calculator .

Mloganzila unaiona mkuu ? Ni kazi ya JK . Unaijua JK cardiac institute pale Muhimbili ? Ni kazi ya JK

Rudi kwenye suala la ajira ndo utamjua JK ni nani ..
 
Attachments

  • IMG_7314.jpeg
    IMG_7314.jpeg
    185.9 KB · Views: 1
Huyo Ndio Chuma JPM, Chawa wana weweseka hawajui wamsifie au wamponde, kote kote ana watwanga konzi za utosi. Ndio mara ya kwanza kushuhudia binadamu aliyefariki akichanganya walio hai miaka mitatu mfululizo. Hakuna wa kumjibia kila baya asemwalo lakini cha ajabu watu wana jijibu wenyewe, Pumzika kwa amani Mwamba JPM, kivuli chako bado kinaumiza vichwa magogo na vigogo wa taifa hili.
 
Huyu Mwamba "JPM!"

John Pombe Magufuli ameondoka Dunia na hatarudi kamwe.Hii ni kanuni ya ki-maumbile ya Ki-dunia,kulingana na mafundidho ya vitabu vitakatifu vya Mungu kwamba kila nafsi itapitia hatua hiyo kwa muda wake utakapiwadia.

Mimi ninachofurahia ni jinsi Magufuli alivyoacha "Landmarks" lukuki ambazo zinawatesa hawa wapigaji wa kisasa wa kisiasa!

Hawawezi kumfuta Magufuli kirahisi ilhali kaacha Landmark kila kona ya nchi

Nitaziorodhesha hapa na muelewe sababu ya Magufuli kutofutika kirahisi Hapa nchini.

IKULU ya Chamwino-Dodoma.
BWAWA LA UMEME la Nyerere.
MJI WA MAGUFULI MTUMBA-Dodoma.
UKUTA wa Mererani-Manyara.
DARAJA la Tanzanite-Dar es Salaam.
DARAJA LA KIGONGO-BUSISI-Mwanza.
FLYOVERS ya Mfugale -Dar es Salaam.
STENDI YA MAGUFULI-Dar es Salaam.
BARABARA NJIA SITA-Ubungo mpaka mbezi na kuendelea mlandizi.Dar es Salaam.
STENDI KUU -Morogoro.
SOKO KUU-Mwanza.
STENDI KUU-Nyegezi,Mwanza.
STENDI KUU-Nyamhongolo Mwanza.
UWANJA WA NDEGE-Chato.
DARAJA LA WAMI- TANGA.
BOMBA LA MAFUTA -Hoima Uganda mpaka Tanga Tanzania.
RELI YA SGR-Dar es Salaam mpaka Mwanza.

Hizi ni Landmarks na sio vitu vinavyohamishika.ndio maana sijataja Meli wala Ndege.
Kuna pia Zahanati zaidi ya 478 pamoja na hospitali za Wilaya,Rufaa pamoja na za kanda kama Hospitali ya Rufaa Chato.
Kiongozi kama huyu huwezi futa legacy yake kwa kutumia keyboard.

Halafu watu fulani wenye kushiriki uovu kupigana na Legacy ya JPM huku wakitaka kuzitumia hizo Landmarks za JPM kwenye uchaguzi ujao wa 2025.Ushahidi uko wazi.

Watuambie kwanza hizo awamu zingine ukiondoa ya Baba wa Taifa JK Nyerere(R.I.P),na pia Benjamin Mkapa(R.I.P).

Hao wengine watuambie legacy zao walizotuachia kama taifa!
Ni nini na zinatusaidiaje kwa sasa?
Naona kiaina unampiga gubu Jakaya wewe 😂

Mtu wake anatembelea nyota isiyo yake. tunakutana naye kwenye U-Turn
 
Vituo vya usafiri wa mabasi ni vingi tu vimejengwa kisasa kipindi chake, nimeshuhudia cha Korogwe na cha Tanga mjini.
 
kwa bahati mbaya, pamoja na ukatili wake wote, hizi landmark zitadumu kumshuhudia kama legacy nzuri kabisa kuwafaidisha watanzania. na kwa hilo amewapiga bao watangulizi wake na hata hawa waliopo sasaivi. kwahizo, nimeamua kumsamehe hata ujenzi wa uwanja wa popo na wachawi wa chato.
 
Back
Top Bottom