eti jaman landmark hotel kunduchi washaanza kuwapigia simu watu au ndo unaenda tu kwenyee interview kama ulituma barua kwasababu ni 20 ndo interview. Tujuzane
kesho kitanuka pale sipati picha
Huja be civilised? Umeshaitw wewe jamaa?
mimi nimepeleka barua pale nikaambiwa tareh 20 nisikose saa mbili sasa nikienda alafu waseme mpaka tukupigie siwaelewi coz hawajaniambia hivyo mimi nilimuuliza yule babu namba ya simu siandik akasema haina haja we njoo tu