Bob12 JF-Expert Member Joined Feb 27, 2017 Posts 11,422 Reaction score 58,790 Mar 9, 2017 #2 Mbona cjaelewa au labda na mimi nimekua Mwakabashite Mwakavyeti a.k.a Bashite
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 19,042 Reaction score 22,592 Mar 9, 2017 #3 Zile hostel mpya zimemuogopesha ukizingatia mkuu alisema watashindwa wenyewe
Mr. MTUI JF-Expert Member Joined Feb 18, 2013 Posts 8,129 Reaction score 8,378 Mar 9, 2017 Thread starter #4 Bob12 said: Mbona cjaelewa au labda na mimi nimekua Mwakabashite Mwakavyeti a.k.a Bashite Click to expand... Alibadili zikawa hostel.. Sasa hv amerudi kwenye hotel
Bob12 said: Mbona cjaelewa au labda na mimi nimekua Mwakabashite Mwakavyeti a.k.a Bashite Click to expand... Alibadili zikawa hostel.. Sasa hv amerudi kwenye hotel
Bob12 JF-Expert Member Joined Feb 27, 2017 Posts 11,422 Reaction score 58,790 Mar 9, 2017 #5 Mr. MTUI said: Alibadili zikawa hostel.. Sasa hv amerudi kwenye hotel Click to expand... Hii game si mchezo mamaae
Mr. MTUI said: Alibadili zikawa hostel.. Sasa hv amerudi kwenye hotel Click to expand... Hii game si mchezo mamaae
wiseboy JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 2,930 Reaction score 3,314 Mar 9, 2017 #6 Wallah huyu nae kakosa tu bunduki, anaweza kuwa km wa dom dom
MKATA KIU JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 3,481 Reaction score 8,605 Mar 9, 2017 #7 udsm ina hostel hadi za kusaza labda awa target nit na vyuo vya hotel
jogi JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 25,556 Reaction score 25,371 Mar 9, 2017 #8 MKATA KIU said: udsm ina hostel hadi za kusaza labda awa target nit na vyuo vya hotel Click to expand... Ashukishe bei
MKATA KIU said: udsm ina hostel hadi za kusaza labda awa target nit na vyuo vya hotel Click to expand... Ashukishe bei
wiseboy JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 2,930 Reaction score 3,314 Mar 9, 2017 #9 jogi said: Ashukishe bei Click to expand... Na bei ndo nahisi imekuwa kikwazo, wanafunzi wengi n8 wale wa maisha ya kitanzania...probably aliweka garama za hadhi ya jina la hotel
jogi said: Ashukishe bei Click to expand... Na bei ndo nahisi imekuwa kikwazo, wanafunzi wengi n8 wale wa maisha ya kitanzania...probably aliweka garama za hadhi ya jina la hotel
The Bleiz JF-Expert Member Joined Jan 7, 2012 Posts 5,143 Reaction score 13,838 Mar 9, 2017 #10 Hiyo usemi wa "kubadilisha gia angani" huwa unafurahisha sana kila nikikutana nao sehemu.