mossad007
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 1,165
- 852
Soma vizuri uelewe nilichokiandika sijasema mafuta yaliyochakachuliwa nimesema ukiweka petrol aina tofauti na ya kwake kama ni super ukaweka regular unavuruga mfumo wa injini tofauti na injini kama za vvti au 3s unaweza ukaweka petrol aina yoyote utakayo
Nimeshatumia hii gar na nimeweka hzo aina zote za mafuta na haikuwahi leta tatizo..